urudi mwenzangu, umbea umenoga ,nilikuwa sijui kumbe zari ana stashahada ya cosmetology? umeona balaa lake apo juu? kweli wabongo wamuache zari hawamuwezi hata robo, si kwa umalaya wala uzuri wala mafanikio
Hahaaa
Amekamilika kila idara
Anafiti kila sehemu
Akili yako ni finyu full wivu, lol so unakunjaga uso na umezeeka duh, lazima unatisha. as haujiheshimu full mdomo mchafu kama full mwili. Eti kusoma mmmh achia hapo maana hauyawezi.
Umeona uso wake umekunjika, mfyuuuuu.
mbumbumbu sikia Zari ni mzuri for her age ila usijidanganye na make ups zake. Mtizame bila make ups na ile miguu iliyokuwa na nyama zilizoenda umri. There's a reason for that.
mbumbumbu sikia Zari ni mzuri for her age ila usijidanganye na make ups zake. Mtizame bila make ups na ile miguu iliyokuwa na nyama zilizoenda umri. There's a reason for that.