Zaria ana miaka 40 tuache kudanganyana
Zaria ana miaka 40 tuache kudanganyana, pia nafurahi kusikia ni mmliki wa chuo kikuu hii maana yake anathamini elimu kwahiyo nategemea kuona Diamond akipata shahada yake hapo chuoni hata kwa kubebwabebwa tu yote yanawezekana.
Hapana si kweli ni wa 1975.
Wewe umejuaje ni wa 1975?
Ulimzaa wewe au ni majungu tu?
Kwani kujuwa 2Pac alizaliwa mwaka 1971 kunahitaji uwe wewe ndio umemzaa? Come on.
zarina mwanamuke mrembo huyu mweh...
Tupac hata mama yake keshanukuliwa akisema alimzaa lini Tupac na kuna vyanzo kadhaa rasmi vinavyothibitisha hilo.
Sasa wewe umejuaje kuwa Zari alizaliwa 1975?
Uliwahi kusikia mahali? Kama uliwahi, ulisikia wapi na ulimsikia nani akisema hivyo?
Kwa vile hujajibu kuwa wewe umejuaje Zari alizaliwa 1975, basi nina kila sababu ya kuamini kuwa unazusha tu la sivyo ungejibu swali langu bila mizengwe.
natamani kujua source ya utajiri lakini
Hapa hakuna mizengwe bali umethibitisha kuwa si lazima uwe umezaa Barack Obama kujuwa umri wake.
This debate is over.
Wewe ni mfitini, msabasi, na mpika majungu (ambazo ni sifa mbaya kwa mwanaume)
Hujui Zari kazaliwa lini lakini unajifanya unajua.
Huna tofauti na wale upendao kuwaponda kuwa hujifanya kujua sana watu ilhali hawawajui.
Badilika.
Unapompinga mwenzako ni ustarabu wa kawaida kuja na fact, huna fact zozote unapata wapi credibility ya kunipinga? Do you know me?
brooklyn