Mfahamu Leonard de Vinci

Kasomi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
11,030
Reaction score
20,391

Leonard de Vinci mdadisi wa kila kitu asilia katika historia huenda alikuwa raia wa Uturuki.

Katika makamala iliotolewa na jarida la The Guardian, mwanahistoria wa sanaa Simon Hewitt amesema kuwa mdadisi wa kila kitu asilia anaetambulika katika historia kwa jina la Leonard de Vinci alikuwa mzawa au mtu wa koo ya jamii ya waturuki katika eneo la Caspian na Khazar.

Mwanahistoria huyo amefahamisha hayo kutokana na nywele Leonard de Vinci.

Utafiti huo na jibu la muda ambalo limetoa furs aya utafiti zaidi linapatikana katika kştabu cha « Leonardo da Vinci and the Book of Doom » kilichoandikwa na Hewitt.

Hewitt aliandika kitabu hicho akitumia picha za de Vinci zilizohifadhiwa nchini Ujerumani.
 
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] Hatari na nusu.
 
Inawezekana jina langu ni moja ya jina gumu kulitag humu jukwaani.
✓✓Ahsante kunikumbuka historia yangu..kwa sasa nimepumzika mitaa ya Château du Clos Lucé
Kweli mkuu.
Hongera kwa hilo
 
Pia daVinci XV njoo ujione
Shukraani bwana ,, huyu jamaa ni hatari na Nusu siku zote huwa namuweka namba kati ya wanasayansi wote waliokanyaga mgongo wa Dunia hii

Haina haja ya kutaja kila Alichofanya , Nadhani vyaeleweka huyu Alikuwa ni Gifted man

Nikushukuru sana ,kunifungua kidogo ,Maisha yake ya Mwisho Leornado aliyamaliza Ufaransa lakini historia , inasema huyu bwana alikuwa ni muitaliano kutoka Mji wa Vinci na ndipo lilipopatikana Jina lake

Hivyo kutokana na ulichokiandika ,nmepata kitu kingine Ambacho huenda sisi hatukikijua kabla ....hivyo imenipa Shauku Ya kuendelea kumsoma zaidi na zaidi

Shukraani 🙏 mkuu

🤣🤣Rafiki yangu tukiwa kidato cha tatu,alinipatia jina hilo kama nickname ,hii ilitokana na mfanano wa tarehe ya na mwezi wa kuzaliwa na Da'vinci mwenyewe
Nikalipokea likawa popular zaid ya La kwangu halisi(.....)
 
Asante pia mkuu kwa kushare hapa.
Litumie vyema Jina hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…