Kasomi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 11,030
- 20,391
Leonard de Vinci mdadisi wa kila kitu asilia katika historia huenda alikuwa raia wa Uturuki.
Katika makamala iliotolewa na jarida la The Guardian, mwanahistoria wa sanaa Simon Hewitt amesema kuwa mdadisi wa kila kitu asilia anaetambulika katika historia kwa jina la Leonard de Vinci alikuwa mzawa au mtu wa koo ya jamii ya waturuki katika eneo la Caspian na Khazar.
Mwanahistoria huyo amefahamisha hayo kutokana na nywele Leonard de Vinci.
Utafiti huo na jibu la muda ambalo limetoa furs aya utafiti zaidi linapatikana katika kştabu cha « Leonardo da Vinci and the Book of Doom » kilichoandikwa na Hewitt.
Hewitt aliandika kitabu hicho akitumia picha za de Vinci zilizohifadhiwa nchini Ujerumani.