Mfahamu Li lianje [Jet Li] legendary wa muvi anayeteseka na ugonjwa miaka 10

Unajua kuhadithia
 
Fist of legend ni mwendelezo wa Fearless
ila jamaa hua wanajipanga sana kwenye movie zao yaani utakuta comedy,love na action kwenye movie moja hyo inafanya mtu asichoke kuona cyo ka za kibongo
 
Kuna mdogo yupo vizuri saana!!,
Ame act movie inaitwa Birth of the Dragon...
Uyo dogo yuko vzr saana
 
ila mkuu hapo ulipomalizia kuna utata Don yen ni sheedah jet Lee akalale aiseee
acha masihara umeisoma thread vyema au waongea kwaajili ya mapenzi ...mtu alikuwa bingwa ..wa mapigano kuanzia China nzima mpaka Asia nzima ...na kuchaguliwa na raisi ili awe Mlinzi wake "" halafu bado unasemaje ...."" unapaswa kuleta CV za don hapa...kama alivyo Fanya mtoa mada kwa jet...sio kupinga bila tafiti mkuu""
 
Mbona kichwa cha habari ni tofauti na content.
Au unataka Likes nyingi na Views wengi kwenye Thread yako.
Jamaa katengeneza heading ya kidaku ...ili apate thread ipate wasomaji wengi.... bado hujang'amua hilo tu" mpaka sasa "" duuh
 
Hivi unamjua Don yen wewe mleta mada?


Kwa kuanzia utafute movie inaitwa 14 Blades
 
Asante kwa taarifa ila Donnie Yen ni mziki mwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…