holy holm
JF-Expert Member
- May 6, 2017
- 4,793
- 9,101
bila kusahau fist of Dragon alicheza japanKunKuna ile yupo na mzungu anapiga risasi kinoma, jambazi anakiatu chenye msumeno
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bila kusahau fist of Dragon alicheza japanKunKuna ile yupo na mzungu anapiga risasi kinoma, jambazi anakiatu chenye msumeno
Unajua kuhadithiaSio hiyo mkuu, anakuwa na kale katoto ambacho aliact nae ktk My Father is hero. Sasa hiyo kuna watoto wamepigwa ramani nyuma ya mgongo. Kuna kikundi cha watu wanaitafuta hiyo ramani.
Adui kuu ni jamaa flani hivi ambae mwanzoni mwa muv alipigwa na Jet Li, Jet Li na ile Jamii ikaamini kwamba amekufa kumbe jamaa alienda wapi sijui huko kujifunza Invisible kung fu, anarudi tena duniani.
Adui atakufa baada ya kupigwa mpaka kudumbukizwa kwenye acid na kupotea kabisa.
Kashkash ndani ya hii muvie ninaikubali saaana. The Legend of Shaolin na The Bodyguard from Beijin huwa sichoki kuzitazama.
Fist of legend ni mwendelezo wa Fearlessbila kusahau fist of Dragon alicheza japan
ila jamaa hua wanajipanga sana kwenye movie zao yaani utakuta comedy,love na action kwenye movie moja hyo inafanya mtu asichoke kuona cyo ka za kibongoFist of legend ni mwendelezo wa Fearless
Kale katoto kanapiga mkono balaa.Unajua kuhadithia
Kamtu kazima sasa kuna muvi yake inatoka mwaka huu 32yrsKale katoto kanapiga mkono balaa.
balaaa mzee baba...kuna kitu kinaitwa fearless""....weweeeeeeila hyo movie ya once upon a time in China ni bonge la movie hua sichoki kuitazamana
acha masihara umeisoma thread vyema au waongea kwaajili ya mapenzi ...mtu alikuwa bingwa ..wa mapigano kuanzia China nzima mpaka Asia nzima ...na kuchaguliwa na raisi ili awe Mlinzi wake "" halafu bado unasemaje ...."" unapaswa kuleta CV za don hapa...kama alivyo Fanya mtoa mada kwa jet...sio kupinga bila tafiti mkuu""ila mkuu hapo ulipomalizia kuna utata Don yen ni sheedah jet Lee akalale aiseee
kina nani hao ...acha masihara basiiii..mkuumkuu wakal wa haya mambo wanasema akitoka Bruce Lee anafata Don yen them hao wengine
Jamaa katengeneza heading ya kidaku ...ili apate thread ipate wasomaji wengi.... bado hujang'amua hilo tu" mpaka sasa "" duuhMbona kichwa cha habari ni tofauti na content.
Au unataka Likes nyingi na Views wengi kwenye Thread yako.
the mask ..danie the dog...tai chi " .fearless. na nyingine kibao simchezo. .huyo mtuYas nimeshaipata.lakini hata the mask ni balaa.
Haijaifikia Once upon a time in Hongkongila hyo movie ya once upon a time in China ni bonge la movie hua sichoki kuitazamana
ile aliyo pata ajali na kujikuta yupo Amerika or!?Haijaifikia Once upon a time in Hongkong
ndio huyo dogo sasa iv ana 32yrs..Kuna mdogo yupo vizuri saana!!,
Ame act movie inaitwa Birth of the Dragon...
Uyo dogo yuko vzr saana
FearlessThe bodyguard.
Taichi.
My father is Hero
The mask.
ni balaaaa.
Don Yen ndio mnyama, kwanza movies zake zote kali tu balaaila mkuu hapo ulipomalizia kuna utata Don yen ni sheedah jet Lee akalale aiseee
Namuheshim na kumkubali Don kichiz, ila Jet li kwangu ndie messi wangu don ni Ronaldo. Cheki New big boss, Bodyguard vs AssassinHivi unamjua Don yen wewe mleta mada?
Kwa kuanzia utafute movie inaitwa 12 Blades
Asante kwa taarifa ila Donnie Yen ni mziki mwingine.Early this week Nilipata mshituko mkubwa kuona taarifa E-Newz ya muigizaji wa kichina Jet li anavyoteseja na ugonjwa kwa miaka 10.
Tumfahamu jet li ni nani?
Anaitwa Li Lianjie kazaliwa 26/4/1963, anafahamika kama Jet Li
ni Muigizaji,Mtayarishaji wa muvi,Bingwa wa Wushu na Martial Artist.
Kazaliwa Beijing nchini china, kwa sasa ni raia wa Singapore.
Ni kijana mdogo kati ya familia ya wasichana waiwili na wavulana wawili. Baba yake kafariki Li akiwa na Miaka 2.
Li alipokua na miaka 8 ndipo kipaji na uwezo mkubwa wa Wushu ulipogunduliwa wakati wa mashindano ya shule yaliitwa Summer Course. baadae akajiunga na mashindano ya Non sparing wushu Event huko alipata makocha wawili ambao ni Wu bin na Li junfeng, Wu bin ndo alikua anapeleka chakula nyumbani kwa jet li.
Siku moja alipokua bado mtoto alienda kushiriki mashindano ya Chinese National Wushu Team mbele ya Rais Richard Nixon Marekani, Rais Nixon akamwomba Li awe mlinzi wake binafsi (Personal Bodyguard) lakini Li alimjibu "I don't want to protect any individual, when I grow up I want to defend my one billions Chinese Countrymen"
Li ni master wa mapigo mbalimbali kama vile
Changquan,fanzquan,Taijiquan etc.
Baada ya Li kua mshindi wa mashindano mbalimbali nchini China (Bara)hadi Hong Kong (visiwani) Ilikua mwaka 1982 nchini ufilipino ndio alipopata jina la Jet le, Wafilipino waliona jina la Li Lianjie ni gumu kulitamka hivyo wakaona uwezo wa wepesi na uharaka akiwa anapambana wakaufananisha na ndege aina ya Jet hapo ndio jina la jet lilipozaliwa na muvi yake ya kwanza kuicheza wakamwandika Jet Li hapo ndio jina lake likakuaa kuliko la alillo zaliwa nalo Li lianjie.
Muvi yake ya Kwanza kucheza na kumpa jina ulimwengu wa filamu iliku
Shaolin Temple (1,2&3) 1982
One upon a time in China (1,2&3)
Fist of Legend
Fong sai yuk
Mwaka 1998 Li alifanya filamu na Wamarekani inayokwenda kwa jina la Lethal Weapon 4 , alitakiwa kucheza kama jambazi ila akakataa ila wakamwahidi kua atashiriki kwenye filamu nyingine kama starling akakubali. Mwaka 2000 ndipo akacheza kama sterling akishirikiana na mwanamuziki Aaliyah filamu iliitwa Romea Must Die! Filamu iliuza sana. Li aliongea kingereza kidogo sana.
Baadhi ya usiyoyajua kuhusu Li.
Li alikataa kuicheza muvi ya Crouching Tiger na Hidden Dragon kwasababu alimwahidi Mke wake kua hatacheza muvi yoyote akiwa na mimba nafasi yake ilichukuliwa na Chow yun-fat ilikua mwaka 2000.
Pia alikataa kuigiza kama Seraph katika Muvi ya Matrix kwasababu eti sehemu alizitakiwa acheze hazitumii uwezo alionao wa mapigano, Nafadi yake ilichukuliwa na Collin Chou.
PrayForJetLi.
Jet li is better than Donie Yen & Jackchan.
Alamsiki.
-O'Brian