kalagabaho
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,457
- 5,893
Anasumbuliwa na ugonjwa wa uti wa mgongo,lakini sio serious kivile,
pia jetlee alishakuwa mzee,na ana kipara sikuhizi ukikutana nae unaweza usimjue,
means career yake ndo ishafika mwisho kwani yale madoido na kashikashi hawezi tena,
NOTHING IS PERMANENT
Duh kweli finale uzeeni
Hiyo ni aina na mbinu mbalimbali kama ilivyo Judo, karate, taekwond, ninjtu, jijtus, krav maga, kombat karate, n. KJamani, Wushu ndo mchezo gani!?
Afadhali, nimepata mwanzo. Asante mkuu.Hiyo ni aina na mbinu mbalimbali kama ilivyo Judo, karate, taekwond, ninjtu, jijtus, krav maga, kombat karate, n. K
Karibu, msingi mkuu wa WU SHU, ni uharaka... Jamaa wako speed vibaya, mno.Afadhali, nimepata mwanzo. Asante mkuu.
Hongera.Karibu, msingi mkuu wa WU SHU, ni uharaka... Jamaa wako speed vibaya, mno.
Miongoni mwa michezo ninayo tamana kuimaster vema, pamoja na WING CHUN
Jet li ana kasheshe jaribu ku compare vizuriila mkuu hapo ulipomalizia kuna utata Don yen ni sheedah jet Lee akalale aiseee
Pendekeza filamu mbili , tatu zenye ladha halisi ya WU SHU ili niifurahie weekend yangu.Karibu, msingi mkuu wa WU SHU, ni uharaka... Jamaa wako speed vibaya, mno.
Miongoni mwa michezo ninayo tamana kuimaster vema, pamoja na WING CHUN
Nipe filamu mbili (WU SHU) unazo zikubali zaidi,.Kiukweli katika Sanaa za mapigano wushu ni kwere, achana na gujiru, aikido au shotokan. Sema hapa bongo sijaona masensei wanaofundisha Wushu