Mfahamu Li lianje [Jet Li] legendary wa muvi anayeteseka na ugonjwa miaka 10

Mfahamu Li lianje [Jet Li] legendary wa muvi anayeteseka na ugonjwa miaka 10

Anasumbuliwa na ugonjwa wa uti wa mgongo,lakini sio serious kivile,
pia jetlee alishakuwa mzee,na ana kipara sikuhizi ukikutana nae unaweza usimjue,
means career yake ndo ishafika mwisho kwani yale madoido na kashikashi hawezi tena,
NOTHING IS PERMANENT

Eti ukikutana nae unaweza usimjue!!!.. mkuu hapa sijui ulimaanisha nini!!
 
Mkuu umeisahau THE BODYGUARD FROM BEIJING, bonge la picha kwa upande wangu.
 
Mwe mnaacha mihemko na mahaba...fatilia Blog zoe na wbsite zote duniani pamoja na vyanzo vya habar unavyovijua....Jetli yupo nyuma ya Jackie chan
 
Kiukweli katika Sanaa za mapigano wushu ni kwere, achana na gujiru, aikido au shotokan. Sema hapa bongo sijaona masensei wanaofundisha Wushu
 
Karibu, msingi mkuu wa WU SHU, ni uharaka... Jamaa wako speed vibaya, mno.

Miongoni mwa michezo ninayo tamana kuimaster vema, pamoja na WING CHUN
Pendekeza filamu mbili , tatu zenye ladha halisi ya WU SHU ili niifurahie weekend yangu.

Ahsante
 
Kiukweli katika Sanaa za mapigano wushu ni kwere, achana na gujiru, aikido au shotokan. Sema hapa bongo sijaona masensei wanaofundisha Wushu
Nipe filamu mbili (WU SHU) unazo zikubali zaidi,.
 
Mleta post miyeyusho. Sasa badala ya kuzungumzia ugonjwa, umeishia kuchambua movie.
 
Back
Top Bottom