Mfahamu Li lianje [Jet Li] legendary wa muvi anayeteseka na ugonjwa miaka 10

Anasumbuliwa na ugonjwa wa uti wa mgongo,lakini sio serious kivile,
pia jetlee alishakuwa mzee,na ana kipara sikuhizi ukikutana nae unaweza usimjue,
means career yake ndo ishafika mwisho kwani yale madoido na kashikashi hawezi tena,
NOTHING IS PERMANENT
Lakini Mkuu hali ya uchumi wake si bado ipo vizuri?
 
Mbona kichwa cha habari ni tofauti na content.
Au unataka Likes nyingi na Views wengi kwenye Thread yako.
 
Ntakuwa nimeiona lakini siikumbuki.au ile anayo pigana na mabingwa mbalibali?
Alikua na hako katoto kama mtoto wake. Kuna jamaa anapigana kajipaka uji wa chuma yupo kwenye kigali. Dogo anapiga huyo na baba yake
 
Jet li anajifanyaga hana shobo na madem, i
ha haha hata kwenye the bodyguard pia alikua ataki shobo na yule bi mdada ila kwenye fong si yuk ndo alikua na wake wawili ka ckokosea
 
Fong sai yuk napenda mama yake tu alivyo mcharuko
 
Ntakuwa nimeiona lakini siikumbuki.au ile anayo pigana na mabingwa mbalibali?
Sio hiyo mkuu, anakuwa na kale katoto ambacho aliact nae ktk My Father is hero. Sasa hiyo kuna watoto wamepigwa ramani nyuma ya mgongo. Kuna kikundi cha watu wanaitafuta hiyo ramani.

Adui kuu ni jamaa flani hivi ambae mwanzoni mwa muv alipigwa na Jet Li, Jet Li na ile Jamii ikaamini kwamba amekufa kumbe jamaa alienda wapi sijui huko kujifunza Invisible kung fu, anarudi tena duniani.

Adui atakufa baada ya kupigwa mpaka kudumbukizwa kwenye acid na kupotea kabisa.

Kashkash ndani ya hii muvie ninaikubali saaana. The Legend of Shaolin na The Bodyguard from Beijin huwa sichoki kuzitazama.
 
ha haha hata kwenye the bodyguard pia alikua ataki shobo na yule bi mdada ila kwenye fong si yuk ndo alikua na wake wawili ka ckokosea
Fong sai yuk napenda mama yake tu alivyo mcharuko
 
Alikua na hako katoto kama mtoto wake. Kuna jamaa anapigana kajipaka uji wa chuma yupo kwenye kigali. Dogo anapiga huyo na baba yake
Jamaa mwenyewe ana sura mbaya mbaya hivi.na kuna watoto kama saba hivi.nishaipata.
 
Sio hiyo mkuu, anakuwa na kale katoto ambacho aliact nae ktk My Father is hero. Sasa hiyo kuna watoto wamepigwa ramani nyuma ya mgongo. Kuna kikundi cha watu wanaitafuta hiyo ramani.

Adui kuu ni jamaa flani hivi ambae mwanzoni mwa muv alipigwa na Jet Li, Jet Li na ile Jamii ikaamini kwamba amekufa kumbe jamaa alienda wapi sijui huko kujifunza Invisible kung fu, anarudi tena duniani.

Adui atakufa baada ya kupigwa mpaka kudumbukizwa kwenye acid na kupotea kabisa.

Kashkash ndani ya hii muvie ninaikubali saaana. The Legend of Shaolin na The Bodyguard from Beijin huwa sichoki kuzitazama.
Yas nimeshaipata.lakini hata the mask ni balaa.
 
ha haha hata kwenye the bodyguard pia alikua ataki shobo na yule bi mdada ila kwenye fong si yuk ndo alikua na wake wawili ka ckokosea
KunKuna ile yupo na mzungu anapiga risasi kinoma, jambazi anakiatu chenye msumeno
 
Back
Top Bottom