Mfahamu Lupakisyo Kapange aliyeteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Bariadi

Taarifa zinasema kwamba kabla ya Uteuzi huu alikuwa Katibu mwenezi wa ccm Wilaya ya Tanga

Bado haijajulikana kama ana uzoefu mwingine wowote wala kiwango chake cha elimu

View attachment 1827126
Kwa mwili huu sintashangaa akianza kuboronga first week tu naona kama reasoning yake imehamia tumboni....kama yule mabendera kibao wajihi wake wamafanana sana ......tumpe muda utaongea yote..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…