Sio lazima uwe na connection ya CCM. Cha Msingi upate ofisi ya serikali inayoongozwa na hao vilaza. Wewe uwepo ofisi ya manunuzi/uhasibu.Kama huna connection na ccm cake ya taifa utaisikia kwa jirani utapumbazwa kwa mambo mengi
Hata Gwajima unaweza kumtuma dukani.