Sio lazima uwe na connection ya CCM. Cha Msingi upate ofisi ya serikali inayoongozwa na hao vilaza. Wewe uwepo ofisi ya manunuzi/uhasibu.
Hata Gwajima unaweza kumtuma dukani.
mhehe mwenzangu kutoka ngalanga ambako nyanya za umeme zimepita lakini umeme unaishia kuuona kwenye chai badala ya kujadili maisha ya watu kwanini tusiungane kujadili nivipi umeme wa mwenga hyro electric lpwer utafika ngalanga