Mfahamu mchezaji msomi wa Coastal Union

Mfahamu mchezaji msomi wa Coastal Union

Yani commentators wa bongo bwana jana nlimsikia mmoja wao akisema uyo dogo ana PHD yaaani walah nlijiuliza sana maswali kwaumri wahuyo kijani ni kati ya 20-26 at most hyo PhD kaitolea wapi?lakini akasema ni daktari baadae huku akiendelea kusisitza kua ni PhD holder yaani makanjanja bwana... hii inatoa taswira kwamba kina James Range elimu yao labda ni Astashahada maana asingeweza ongea upuuzi ule.. by the way mtuma uzi asante kwa taarifa.
 
Medicine kwani ni kitu gani mzee? Stephen Hawkings unamjua? Ubongo wake umepata tatizo 99% na anatumia 99% ya 1% ilobakia lkn ndio mwana sayansi prof wa hesabu pekee & cosmology na amekalia dawati ya Isaack Newton pale Havard.

Ubongo una nafasi kubwa mno ya kujua mambo, usidhani medicine ndio yardstick ya kitu kigumu
Halafu mijitu ya sayansi haijui hata elimu ya uraia miaka ile walikua wanapgwa penalty za civics balaa.. unakuta jitu linasifia physics na chemistry lakini hamjui hata waziri wa OR-MUU au waziri wa Miundombinu halafu linajisifu kichwa..
 
wale watangazaji aidha walikua wanapotosha au hawajui mfumo wa taaluma hii lakini huenda tatizo linakuzwa mahala pengine na kuambukiza kwa hiyo nimeliweka kibega

Walisema eti jamaa ana Phd
 
Mpeni hongera zake, kama anakusanya posho Tanga na Muhimbili anapasua papers ... Kumbeza ni roho ya korosho..
 
Hayupo MUHAS mtu kama huyo, hebu fanyeni research ndo mje kuongea
 
Back
Top Bottom