Mfahamu mdudu Kantangaze (Tuta absoluta)

Hapana rafiki, anafanana nae tu. Si unaona yupo kama kiwavi? Ila akipitia mazao hayaachi salama. Mzima lakini?
Alhamdulillah, niko salama hofu kwako, me najuaga hawa wote ni wadudu washawasha siwez kutofautisha ina mana huyu akikudanda hakuwashi?
 
Hahahaa akikufanyaje? Sijafanya huo utafiti. Wale washawasha kwanza wanamanyoya mengi na ndio hayo yana washa washa yakikugusa.

Nimependa kudanda tu...
 
yaani huyu akiingia shambani Kwako ,Kile atakachokufanyia lazima ukamtangaze kwa Ndugu na Jamaa zako.ni zaidi ya Kiwavi Jeshi
 
Hahahaa akikufanyaje? Sijafanya huo utafiti. Wale washawasha kwanza wanamanyoya mengi na ndio hayo yana washa washa yakikugusa.

Nimependa kudanda tu...
Hahahhaha i mean kudandia sjui ndio hivo mezoea kusema kudanda, nawaogopa hao japo hawajawah kuniwasha
 
Alhamdulillah, niko salama hofu kwako, me najuaga hawa wote ni wadudu washawasha siwez kutofautisha ina mana huyu akikudanda hakuwashi?
Hawashi. Lakini mikoa ya kati na magharibi mwa Tz mwaka huu hiyo aina ya viwavi vimetia hasara kubwa sana wakulima.
Vikishambulia shamba kwa mfano la mahindi, havisikii dawa.
 
Back
Top Bottom