Mfahamu Miss TZ Anayetembea na Kondomu Mfukoni Masaa 24

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
MISS Tanzania 2011, Salha Israel ameweka bayana bila ya woga wowote kuwa, kwenye pochi yake hakaukiwi na mipira ya kiume ‘kondom', Amani linakupa kila kitu kinagaubaga.

Salha alisema hayo, juzi Jumanne katika mahojiano maalum, chumba cha habari cha Magazeti Pendwa Bongo, Global Publishers, Bamaga – Mwenge jijini Dar es Salaam.

HABARI KAMILI

Katika mahojiano hayo, Salha aliwekwa mtu kati ambapo alifafanua ishu hiyo pamoja na mambo mengine ndani na nje ya urembo, bila kusahau tasnia ya sinema ambayo kwa sasa ameingia kwa miguu miwili.

Swali la msingi lililozaa jibu hilo ni pale alipoulizwa kama aliwahi kutoa mimba tangu alipoanza kuelea kwenye bahari ya mapenzi, ambapo alikana kisha akafafanua: "Mimba! Weeeee.... hapana. Sijawahi kupata wala kutoa mimba."

Akaongeza: "Mimi natumia kondom bwana, mimba itaingia wapi hapa!"
AMANI: Kama ukienda kwa jamaa na akawa hana kondom unafanyaje?

SALHA: Na kwa nini asiwe nayo? Lakini siyo tatizo sana, ndiyo maana mimi huwa nakuwa nazo kwenye pochi muda wote. Nikijua nakwenda kwa jamaa, basi zinakuwa tayari.

Sitaki kisingizio, kama atakuwa nazo fine (sawa) but (lakini) akiwa hana natoa zangu. Unajua mimi ndiye nitakayeingia kwenye matatizo ndiyo maana nakuwa makini mwenyewe.
AMANI: Kwa hiyo hata sasa hivi hapo unazo kondom kwenye pochi yako?

SALHA: (Anacheka) Hapana, hapana... kwa sasa sina na hii ni kwa sababu sina mtu muda huu ila nikiwa naye huwa siachi kuzibeba muda wote.
 
MISS Tanzania 2011, Salha Israel ameweka bayana bila ya woga wowote kuwa, kwenye pochi yake hakaukiwi na mipira ya kiume ‘kondom’, Amani linakupa kila kitu kinagaubaga.

1SALHA1.jpg
MISS Tanzania 2011, Salha Israel akiongea na mapaparazi wa GPL (hawapo pichani).
Salha alisema hayo, juzi Jumanne katika mahojiano maalum, chumba cha habari cha Magazeti Pendwa Bongo, Global Publishers, Bamaga – Mwenge jijini Dar es Salaam.
HABARI KAMILI
Katika mahojiano hayo, Salha aliwekwa mtu kati ambapo alifafanua ishu hiyo pamoja na mambo mengine ndani na nje ya urembo, bila kusahau tasnia ya sinema ambayo kwa sasa ameingia kwa miguu miwili.
Swali la msingi lililozaa jibu hilo ni pale alipoulizwa kama aliwahi kutoa mimba tangu alipoanza kuelea kwenye bahari ya mapenzi, ambapo alikana kisha akafafanua: “Mimba! Weeeee.... hapana. Sijawahi kupata wala kutoa mimba.”
1SALHA5.jpg
Akaongeza: “Mimi natumia kondom bwana, mimba itaingia wapi hapa!”
AMANI: Kama ukienda kwa jamaa na akawa hana kondom unafanyaje?
SALHA: Na kwa nini asiwe nayo? Lakini siyo tatizo sana, ndiyo maana mimi huwa nakuwa nazo kwenye pochi muda wote. Nikijua nakwenda kwa jamaa, basi zinakuwa tayari.
1SALHA6.jpg
Sitaki kisingizio, kama atakuwa nazo fine (sawa) but (lakini) akiwa hana natoa zangu. Unajua mimi ndiye nitakayeingia kwenye matatizo ndiyo maana nakuwa makini mwenyewe.
AMANI: Kwa hiyo hata sasa hivi hapo unazo kondom kwenye pochi yako?
SALHA: (Anacheka) Hapana, hapana... kwa sasa sina na hii ni kwa sababu sina mtu muda huu ila nikiwa naye huwa siachi kuzibeba muda wote.

duh........anatembea na condom kama card ya ATM
 
MISS Tanzania 2011, Salha Israel ameweka bayana bila ya woga wowote kuwa, kwenye pochi yake hakaukiwi na mipira ya kiume ‘kondom', Amani linakupa kila kitu kinagaubaga.

1SALHA1.jpg
MISS Tanzania 2011, Salha Israel akiongea na mapaparazi wa GPL (hawapo pichani).
Salha alisema hayo, juzi Jumanne katika mahojiano maalum, chumba cha habari cha Magazeti Pendwa Bongo, Global Publishers, Bamaga – Mwenge jijini Dar es Salaam.
HABARI KAMILI
Katika mahojiano hayo, Salha aliwekwa mtu kati ambapo alifafanua ishu hiyo pamoja na mambo mengine ndani na nje ya urembo, bila kusahau tasnia ya sinema ambayo kwa sasa ameingia kwa miguu miwili.
Swali la msingi lililozaa jibu hilo ni pale alipoulizwa kama aliwahi kutoa mimba tangu alipoanza kuelea kwenye bahari ya mapenzi, ambapo alikana kisha akafafanua: "Mimba! Weeeee.... hapana. Sijawahi kupata wala kutoa mimba."
1SALHA5.jpg
Akaongeza: "Mimi natumia kondom bwana, mimba itaingia wapi hapa!"
AMANI: Kama ukienda kwa jamaa na akawa hana kondom unafanyaje?
SALHA: Na kwa nini asiwe nayo? Lakini siyo tatizo sana, ndiyo maana mimi huwa nakuwa nazo kwenye pochi muda wote. Nikijua nakwenda kwa jamaa, basi zinakuwa tayari.
1SALHA6.jpg
Sitaki kisingizio, kama atakuwa nazo fine (sawa) but (lakini) akiwa hana natoa zangu. Unajua mimi ndiye nitakayeingia kwenye matatizo ndiyo maana nakuwa makini mwenyewe.
AMANI: Kwa hiyo hata sasa hivi hapo unazo kondom kwenye pochi yako?
SALHA: (Anacheka) Hapana, hapana... kwa sasa sina na hii ni kwa sababu sina mtu muda huu ila nikiwa naye huwa siachi kuzibeba muda wote.
Anabeba za kike au zakiume au zote full mkoba.Mechi za ugenini na nyumbani yeye full mandalizi.Sio timu moja inavua mashati nyingine inavaa.
 
Anatembea na za kiume. Yuko kikazi zaidi full time anazo. Ukiwa hauna anatoa kwa pochi anakuvalisha
 
Huyo naye ata hafananii na hayo mambo, hayo amuachie sepetunga
 
Miss Tz sasa hivi ni Genge la Makahaba!Huyu Lundenga kwanini asikamatwe?!Huyu mtoti alikuwa hawezi kuropoka maneno makali namna hii hadharani ila baada ya kuzama kwenye hayo mashindano naye kafyatuka,lishageuka Kahaba la kutisha linawinda na Makondom,limenichefua!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
yaani toka wamalize kina damasi bahamasi magese hawa wengini njiti za viberiti tu
 
umeona,kuanzia mamiss wa 2006 ni majanga,yule miss mwenye asili ya kihindi anajiheshimu sana ,wengine vituko tu
 
Wabongo kwa fitina hamjambo! Bi mdada kasema anapokuwa na appointement ndo anaenda na zana; nyie mnasema anatembea na zana as if amesema hata anapokuwa na safari zake za kawaida, kondomu haachi!!
 
Biashara matangazo nahili nalo linaonyesha zahiri kama. Muuza uza marufu so uki mropokea tu mnapatana bei na mpira anakua nayo haya maisha bana let as going untill end?.
 
Back
Top Bottom