Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Hahahaha umenifurahishaa nakojooaaaaWakenya walivyo punguani basi usishangae serikali yao ikitangaza siku ya mapumziko endapo Biden anamshinda Trump!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha umenifurahishaa nakojooaaaaWakenya walivyo punguani basi usishangae serikali yao ikitangaza siku ya mapumziko endapo Biden anamshinda Trump!!
Sulwe is a star.Ok mimi nikiona ,,O'' tu basi najua ni Mjaluo hata Oprah nilisikia ni Mjaluo pia? BTW ,,sulwe'' maana yake nini?
Sulwe ni star in English.sulwe ni jina ya mtu na hiyo kitabu mtoto wangu ako nayo. Ni jina katika jamii ya wajaluo, kwa hivyo kwa hiyo kitabu huyo msichana ndiyo anaitwa sulwe. Aikuwa na tatizo kubwa sana kwa sababu ya rangi yake ya ngozi, alitaka awe na ngozi light kama ndugu zake na mamayake.
Hahahaha nashangaa hujaandika: Akili kubwa Mkenya aongoza kampeni za Biden, majirani huko kusini vipi kampeni zinaendeleaje, ni huruma...
Hahaha duhKha! Nilisahau kuongeza "Akili kubwa", hiyo nafasi kwenye title haingeenea, but goes without saying.
"is among a team of staff "Wadhifa wake "Director of Special Projects in Biden's 2020 campaign"
A Kenyan woman, Esther Ongeri, is among a team of staff working with Democratic Party candidate Joe Biden in the US presidential campaigns.![]()
Democratic party presidential nominee Joe Biden and Director of Special Projects Esther Ongeri
Going by her Linked in account as well as information on Biden’s campaign website, Ongeri is the Director of Special Projects in Biden's 2020 campaign.
Ms Ongeri is a graduate of Saint Peter’s University in New Jersey and has a Bachelor's degree in political science and government from Saint Peter's University.
Still in the same campaign team in June 2019, Ms Ongeri was working as an executive assistant to the campaign manager and special projects coordinator.![]()
Democratic Party candidate Joe Biden (COURTESY)
In February 2018 to June 2019, Ms Ongeri was the Special Projects Associate to the CFO.
She started off as an intern in the office of Senator Menendez from New Jersey between August 2015 to May 2016 before climbing to her current position.
Joe Biden is a Democratic party presidential nominee who is toughing it out with the current president Donald Trump, a Republican.
Biden who was Barack Obama's vice-president has been in US politics since the 1970s.
The Democrat has been ahead of Trump in most national polls since the start of the year ahead of the November 3, 2020, elections.
Most of the polls suggest that Biden has big leads in Michigan, Pennsylvania and Wisconsin. These are the states where Trump won by razor thin margins in 2016.
The US media reports that white seniors have expressed their disapproval at how Trump has handled the pandemic in the country.
Source: Kenya-Named Woman Spearheading Joe Biden's Campaign
![]()
US President Donald Trump speaking at a political rally. NBC NEWS
"is among a team of staff "
Ni mtu mdogo sana kwenye team. Kwa sababu yeye ni nyani ndio maana imekuwa news kuwapo hapo. Acha kupiga kelele.
kiswahili chako kibaya etiSulwe ni jina ya mtu na hiyo kitabu mtoto wangu ako nayo. Ni jina katika jamii ya wajaluo, kwa hivyo kwa hiyo kitabu huyo msichana ndiyo anaitwa sulwe. Aikuwa na tatizo kubwa sana kwa sababu ya rangi yake ya ngozi, alitaka awe na ngozi light kama ndugu zake na mamayake.
Hawa jamaa wana shobo balaa!Hahahaha umenifurahishaa nakojooaaaa