Mfahamu Mkenya anayeendesha kampeni za mgombea urais Marekani, bwana Biden

Wakenya walivyo punguani basi usishangae serikali yao ikitangaza siku ya mapumziko endapo Biden anamshinda Trump!!
Hahahaha umenifurahishaa nakojooaaaa
 
Watz waendelee kubeba boksi tuuu kwenye kampenii, hawawezi chochote wazeee wa ze ze zeee!😂
 
Sulwe ni star in English.
 
"is among a team of staff "
Ni mtu mdogo sana kwenye team. Kwa sababu yeye ni nyani ndio maana imekuwa news kuwapo hapo. Acha kupiga kelele.
 
"is among a team of staff "
Ni mtu mdogo sana kwenye team. Kwa sababu yeye ni nyani ndio maana imekuwa news kuwapo hapo. Acha kupiga kelele.

Kwenu huko mpo kwenye kampeni, hivi hapo ulipo kwenye gheto yako Buza unafahamika hata na mwenyekiti wa kitongoji?????
Tafuta mtu akutafsirie maana ya "Director of Special Projects in Biden's 2020 campaign".....
Yaani kutajwa kwenye wadhifa kama huo tena USA, taifa linalotawala dunia sio kazi rahisi, haufiki hapo kwa kucheza vile vigodoro vyenu...
 
Unspecified special projects inaweza kuwa hata kumbrashia mgombea viatu, akishinda tangazeni tena holiday kama kawaida yenu
 
kiswahili chako kibaya eti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…