secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Ko na wew umejipiga ban au sioMungu nifundishe kunyamaza
Wewe ulijuaje yote hayaEli Cohen ndiye modi aliyejipiga ban baada ya kupata udhuru fulani na baada ya kumaliza shughuli zake akabonyeza kitufe cha kurudi hewani na amerudi.
Alimpiga mvua kwanza memba mmoja nayeitwa sijui lucha kisha akajipiga mvua yeye mwenyewe.
JF ina vituko sana kwa hakika.
Dr am 4 real PhD Harmful
JF Kila mtu anakuwa kama ameshafikia ndoto zake na anaiishi 😂.🤣🤣🤣
JF is a mystery bro
🤣🤣🤣
Humu kila mtu ni mfanyabiashara maarufu, hakuna mwenye njaa
Nilifanya utafiti 😎.Wewe ulijua je yote haya
Ulitumia tools zipi kwenye utafiti wakoNilifanya utafiti 😎.
HahahahJF Kila mtu anakuwa kama ameshafikia ndoto zake na anaiishi 😂.
Nilitumia tools nyingi sana.Ulitumia tools zipi kwenye utafiti wako
Mara ya mwisho niliona ukitwangana matusi na yule bibie 😂.Hahahah
Ndio ndio mkuu
Nasikia yule mwamba ni chapatiMara ya mwisho niliona ukitwangana matusi na yule bibie 😂.
Vipi mliyamalizaje?
Noma Sana kama padri kukutwa kwenye chumba Cha ma sister.Eli Cohen ndiye modi aliyejipiga ban baada ya kupata udhuru fulani na baada ya kumaliza shughuli zake akabonyeza kitufe cha kurudi hewani na amerudi.
Alimpiga mvua kwanza memba mmoja nayeitwa sijui lucha kisha akajipiga mvua yeye mwenyewe.
JF ina vituko sana kwa hakika.
Dr am 4 real PhD Harmful
Halafu humwambii kitu kuhusu kutiki mwezi octoba.Nasikia yule mwamba ni chapati
Karibia kila mtu anamlalamikia sana , sioni ajabu eli kumtupia matusi