Mfahamu modi/dinyo wa jeief aliyejipiga ban

Hiyo ni kama Mwanasheria Mkuu wa Botswana aliyejishitaki yeye mwenyewe binafsi kwa sababu ya uzembe.

Yani aliandaa mashitaka kama Mwanasheria Mkuu wa Serikali, dhidi yake yeye mwenyewe kama mtu binafsi aliyeshika dhamana ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huyo ni mzalendo wa kiwango Cha SGR πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Duh!, Mwisho wake ulimuwahe?

Ujipiga mvua korokoroni ama alishinda kesi πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…