Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hiyo ni nchi au mkoa tena kama wilaya tu? tukifukuza wote huku bara mtatosha hapo? si mtakaa kama simbilisi kwenye kibanda?Maelezo mengi swali hujibu.
Kwahiyo ukivunjika kutakuwa ya sheria ya kwamba wazanzibar wasiingie tanganyika kwasababu muungano umevunjika?
Tutaingia kama nchi nyengine tunavyoingia.
Swali kwanini mnaung'ang'ani muungano hali yakuwa wazanzibar waliowengi hawautaki?
Anaeifanya mkoa ni mzamzibar au mtangnyika? Mkoa unakuwa na rais? Kabla yya kuutakata uwe hivyo unavyotaka kwanini unaung'ang'nia mkoa wkati wakazi wake waliowengi hawataki kuuitwa mkoa?hiyo ni nchi au mkoa tena kama wilaya tu? tukifukuza wote huku bara mtatosha hapo? si mtakaa kama simbilisi kwenye kibanda?
1. Zanzibar haichangii hata senti kwenye serikali ya muungano.Kwa mfano sisi Watanganyika tunawasaidia kipi Wazanzibar?
Kujijaza ujinga tu kichwani.