Kwa mfano sisi Watanganyika tunawasaidia kipi Wazanzibar?
Kujijaza ujinga tu kichwani.
1. Zanzibar haichangii hata senti kwenye serikali ya muungano.
2. Wabunge wa Zanzibar huko Dodoma wanashiriki kwenye vajeti za Tanganyika na hulipwa posho.
3. Pesa za majimbo hupewa wabunge wa Zanzibar wakati huko Zanzibar kuna wawakilishi wa majimbo.
4. Rais Samia Suluhu anasimamia bajeti ya Tanganyika wakati yeye ni Mzanzibari na haichangii cho chote. Kwa kuwa serikali ya muungano imeimeza Tanganyika
5. Tanganyika haina kiongozi kwa sasa, sababu Waziri mkuu huteuliwa na rais aliyepo kwahiyo sio kiongozi mkuu wetu.
6. Zanzibar ina serikali yake, bendera, bunge, wanatawala kwa raha zake
7. Juzi juzi alitangaza meli 8 zinunuliwe za kuvua maji marefu lakini kw pesa ya Tanganyika.
8. Wazanzibari wanaweza kununua na kumilki ardhi, wwanaweza kugombea hata ubunge huku, lakini sio kwao, uende huko, wameweka vigezo uishi miaka kumi na zaidi ndipo unapoweza kugombea uongozi wa kisiasa.
Zanzibar - elezea Zanzibar inasaidia nini Tanganyika