Mfahamu mtakatifu Maria Bakita mzaliwa wa Sudani kusini.

Mfahamu mtakatifu Maria Bakita mzaliwa wa Sudani kusini.

Huu uzi ukivamiwa tu na wale viumbe wapinga Kanisa Katoliki, ndiyo utaharibikia hapo hapo. Ila mpaka muda huu naona unaenda vizuri.

Binafsi na ukatoliki wangu, sikuwahi kuisoma historia ya huyu Mtakatifu Josephine Bakhita. Ndiyo nimeisoma hapa kwa mara ya kwanza. Kwa hiyo mtoa mada hongera sana kwa kutuhabarisha.
 
Binafsi na ukatoliki wangu, sikuwahi kuisoma historia ya huyu Mtakatifu Josephine Bakhita. Ndiyo nimeisoma hapa kwa mara ya kwanza. Kwa hiyo mtoa mada hongera sana kwa kutuhabarisha.
๐Ÿ™
 
Bado unaendelea mtumish

Ujinga wako wa kutokwenda jumuiya sababu kwamba unagari bado unaendelea nao au umekua sasa umeacha
Wazungu ambao ndugu zake Yesu kwa nini wanachelewesha mchakato wa kumpitisha Mtakatifu mweusi(NYERERE).
Mpo busy kusherekea X mas ambayo ni birthday ya binadamu wa kufikirika huku hukumbuki birthday za wazazi wako.
Endeleeni na Ung'ombe wenu wa mtakatifu fulani utuombeeeee
 
Hivi hakuna mtakatifu Maduhu wa Simiyu? Watakatifu wote ni watu kutoka nje ya nchi.

Kanisa katoliki liharakishe kuntunza utakatifu mwalimu Nyerere tuwe tunaomba kwake mtakatifu Nyerere wa Butiama utuombee sisi wakosefu.
Picha ya kuunda kwa udongo ya mzungu huitwa sanamu ya mtu mweusi huitwa kinyago
 
Wema wake kwa ukatoliki, ALLAH Kareem ana husika nini mpaka amuweke mahala pema?
siri ya pepo na moto anaijua mwenyewe muumba. dini iliyomkuta kwenye maisha yake ni huo ukatoliki na akaishi kama mja mwema.
 
Wazungu ambao ndugu zake Yesu kwa nini wanachelewesha mchakato wa kumpitisha Mtakatifu mweusi(NYERERE).
Mpo busy kusherekea X mas ambayo ni birthday ya binadamu wa kufikirika huku hukumbuki birthday za wazazi wako.
Endeleeni na Ung'ombe wenu wa mtakatifu fulani utuombeeeee
Sawa tajir
 
Ila hii imani ya wakatoliki huwa siielewi aisee.

Hawa mnaowaita watakatifu si walikufa na wao wanasubiri siku ya mwisho, inakuaje tena mnawaomba wawaombee ilhali ni wafu, wao wana mawasiliano gani na Mungu, na ninyi mmejuaje kua wanawasiliana na Mungu??

Vipi kama kuna mabaya alikua anayafanya gizani, hamuini ya kua ninyi ndio mnapaswa kumuombea ili aione pepo na sio yeye kuwaombea ninyi maana hajui liendelealo duniani.
 
Hivi mchakato wa kumfanya Mwl JULIUS KAMBARAGE NYERERE kuwa mtakatifu ulifia wapi?
Uliisha baada ya vatican kukataa miujiza yote iliyopelekwa, ili kupata sifa ya kutangazwa ingalao kuwa mwenyeheri(Blessed)
 
siri ya pepo na moto anaijua mwenyewe muumba. dini iliyomkuta kwenye maisha yake ni huo ukatoliki na akaishi kama mja mwema.
Mkuu ni Big no, kama ni pepo basi ipo ktk ukatoliki, apo anahusuka yesu, ila kwa Allah (s.w) atakama ange jenga misikiti dunia nzima kwa Imani yake aliyokufa nayo hana pepo kwa Allah
 
Na mkapa pia maana aliitumikia Imani ipasavyo...
 
Picha ya mtakatifu Iko wapi. Tunataka angalau tumuone Kwa picha Mtakatifu Maria Bakita.
Screenshot_20241016-023327.jpg
Screenshot_20241016-023247.jpg
Screenshot_20241016-022937.jpg
Screenshot_20241016-023014.jpg
 
Back
Top Bottom