Mfahamu Theddy Ladislaus, aliyekuwa Mshauri wa Raisi wa Zambia kwenye Mawasiliano ya Kimkakati lakini kafanya kazi kwenye chaguzi za Ufilipino(2015), Nigeria (2015), Serikali ya Ghana, Dominican Republic na hata chaguzi za CCM Zanzibar.
Theddy Ladislaus alikuwa mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba akiwakilisha wanachuo kipindi hicho alivyokuwa Makamu wa Raisi wa serikali ya wanafunzi Chuo Kikuu cha Mzumbe.
Kwa elimu, ana Masters (MBA) in International Business and Entrepreneurship na Degree ya ICT with Business.
Pia amesoma chuo cha Diplomasia nchini Zambia mwaka 2017.
Teddy ni Kiongozi kijana, mwenye utulivu, nidhamu, mwanamikakati mahiri (strategist) mwenye uwezo mkubwa na mwanadiplomasia wa kweli ambaye atatuwakilisha vema sana kwenye Bunge la Afrika Mashariki hasa ikiwa tunamhitaji kwa nyakati za sasa zenye ushindani wa Diplomasia ya uchumi.