Mfahamu Mteja anayefaa kupotezwa

Mfahamu Mteja anayefaa kupotezwa

Biashara inahitaji uvumilivu sana....kuna gujamaaa humu gulinishtaki kwa max....eti nimegutukana kwa hiyo nipigwe ban!! Heee!! Kweli??
Bundle langu!! Muda wangu!simu yangu!vidole vya ku type vyangu.....basi renyewe ndo rikapigwa ban mpaka reo sirisikii tena... Sijui rimefia wapi.... Miteja mingine bana sijui inatokaga kuzimu....chuma urete hao...ntawapa somo la kumjua chuma urete..
 
Mimi kuna wateja wanakuja kila mara wao wanaulozia bei tu kitu kile kile mpaka inakuwa kero mfano mteja anakuja anakulizia tv 32 bei gani unamtajia bei ..... inapita maybe moezi 3 anakuoigia tena ...je? Huyo nimweke kwnye kundi lipi maana imekuwa kero
 
Back
Top Bottom