Mfahamu mtoto Ally Kimara kwa ufupi

fantastic philip

Senior Member
Joined
Oct 17, 2015
Posts
195
Reaction score
688
MFAHAMU MTOTO. ALLY KIMARA KWA UFUPI.

Ally anamiaka 11 (anatimiza mwezi wa nne) mwaka huu,

Ameanza kuugua akiwa na umri wa miaka miwili na miezi minne (2.4) Mama ake anasema ilitokea ghafra usiku saa saba aliamka usiku ghafra homa, akakohoa then akaanza kulia (ilikua zanzibar)

Akapelekwa hospitali ambapo vipimo vilionyesha ana pneumonia kali, mchana akazidi kudhoofikaHali iliyosababisha kutoka zanzibar kuja dar muhimbili kama sikosei.

Lakiji muhimbili hakukua na mashine za kutosha kupumulia baada ya siku sita wakaenda NAIROBI
Huko ndipo ali corrups baada ya siku moja.Ilikua 2013 ndiyo mpaka leo, dogo aliandamwa na maradhi ikiwemo paralysis,semicomma etc.

Ikabidi baadhi ya vipimo kuagizwa nje ya nchi kama Marekani, India na German, kujiridhisha

Unaambiwa dogo hakuawai kata tamaa na alikua na jitihada sana japo alikua anaumwa (katika shule)Hakuwai kwenda shule, ila walimu walikua wanakuja kumfundisha nyumbani, mwisho wa siku akasajiliwa moja kwa moja darasa la pili 2020.

Na katika mtihani wa darasa la tatu alishika nafasi ya 4 kati ya wanafunzi 575Kwa sasa ni darasa la nne, anahifadhi quran kama kawaida pia ni shabiki mkubwa wa mpira,

Tanzania ni shabiki wa YANGA

Pia ana foundation yake inayosaidia watu wenye shida kama hizo na nyinginezoLeo yanga wamecheza mechi ya hisani kwaajili yake na foundation.. ni hayo tu

GSMfoundation imechangia 10M

Rais samia kaahidi 15M

Thanks

Source.. MAMA YAKE (U TUBE)

#officialseba255 #ubarikiwekamabado #mrfact
 
Watanzania sisi hatupendani au basi ngoja ninyamaze
 
Samahani mkuu
Tungependa kujua huyu dogo anaumwa nini?
Yaani nini kinamsumbua
 
Raisi badala ya kuwezesha hosptal zetu kuweza kuwatibia watoto wenye matatzo kama hayo anachingia 15M daaah,,! anajua wapo watoto wngapi wenye uhitaji kama uyo Alli
Ma yake Ali alisema pesa zinazoingia kwenye mfuko wa Ali zitasaidia kwenda kuwatibu watoto wengine wenye magonjwa kama hayo
 
Raisi badala ya kuwezesha hosptal zetu kuweza kuwatibia watoto wenye matatzo kama hayo anachingia 15M daaah,,! anajua wapo watoto wngapi wenye uhitaji kama uyo Alli
Kama hujui kitu uliza au ukae kimya. Hizo hela apewi Ally bali zinaenda kwenye hiyo foundation ya Ally Kimara ili kusaidia watoto wengine wenye matatizo kama yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…