Mfahamu muuaji Jason Eric Massey na matukio yaliyopelekea hukumu yake.

Mfahamu muuaji Jason Eric Massey na matukio yaliyopelekea hukumu yake.

Imenijia picha ya JANSON STANTHAM[emoji2][emoji2]

Ugiligili
 
Kabsa mkuu, binafsi nimeona wengi sana weny hizo tabia

Sent using Jamii Forums mobile app
kuna hisia fulani ambayo humuingia mtu akiua kiumbe yeyote yule..hiyo hisia usipoidhibiti ukaiachia ikomae itakusukuma sana katika kutekeleza mambo mabaya tena ya ajabu sana...its a state of the mind.
 
Back
Top Bottom