Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Swala lipi mkuu sijaelewa hapo...Naona hili suala bora serikali iingilie kati kwa kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swala lipi mkuu sijaelewa hapo...Naona hili suala bora serikali iingilie kati kwa kweli
Mkuu maisha ni mambo mengi..eti unaambiwa mvua kubwa Rufiji machine imezimwa😀😀😀😀Akikujibu Tafadhali Naomba Umpe Mkuu Wetu Nishati N/W/Mkuu
😃😁😀Wakati Tanzania Tunahitaji Umeme Saa 24/7 Tuwe Juu Historia IandikweMkuu maisha ni mambo mengi..eti unaambiwa mvua kubwa Rufiji machine imezimwa😀😀😀😀
Babu utaambiwa mchochezi wa Nchi.😃😁😀Wakati Tanzania Tunahitaji Umeme Saa 24/7 Tuwe Juu Historia Iandikwe
Usiwe Unazimazima
Leo UnaambiwA Wanafungulia Maji Eti Ni Mengi Kwanini Wasifunge Mashine Zote 9
kwa Kabila kuku watam sana...Dareda sihamiSawa
Hawa Babati Ni Wengi
Si mpaka uwapateHv hawa nao ukisema uwale unakutana na mkono wa sheria?