Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Swala lipi mkuu sijaelewa hapo...Naona hili suala bora serikali iingilie kati kwa kweli
Mkuu maisha ni mambo mengi..eti unaambiwa mvua kubwa Rufiji machine imezimwaππππAkikujibu Tafadhali Naomba Umpe Mkuu Wetu Nishati N/W/Mkuu
πππWakati Tanzania Tunahitaji Umeme Saa 24/7 Tuwe Juu Historia IandikweMkuu maisha ni mambo mengi..eti unaambiwa mvua kubwa Rufiji machine imezimwaππππ
Babu utaambiwa mchochezi wa Nchi.πππWakati Tanzania Tunahitaji Umeme Saa 24/7 Tuwe Juu Historia Iandikwe
Usiwe Unazimazima
Leo UnaambiwA Wanafungulia Maji Eti Ni Mengi Kwanini Wasifunge Mashine Zote 9
kwa Kabila kuku watam sana...Dareda sihamiSawa
Hawa Babati Ni Wengi
Si mpaka uwapateHv hawa nao ukisema uwale unakutana na mkono wa sheria?