Mfahamu Ng'ombe aina ya Girolando mvumilivu wa magonjwa na anayetoa maziwa mengi

Joined
Jun 26, 2026
Posts
7
Reaction score
24
Ng'ombe huyu ana asili ya Brazil anatokana mchanganyiko wa ng'ombe wa asili Gyr na Friesian.

Anasifika kwa kutoa maziwa mengi Girolando jike aliyezaa mara ya kwanza anaweza kutoa hadi lita 18 kwa siku na aliyezaa mara ya pili anaweza kufikisha lita 30 kwa siku.

Sifa nyingine ambayo inafanya wafugaji wapende kufuga Girolando ni uwezo mkubwa wa kuvumilia magonjwa,joto kali na mazingira magumu.Ni tofauti na ng'ombe wengine wa kisasa kama Friesian au Ayrshire ambao pia wanatoa maziwa mengi lakini hawavumilii joto wala magonjwa na ufugaji wa aina hiyo ya ng'ombe unahitaji uangalizi mkubwa lakini Gorolando anaweza kuchungwa au kufugwa kama ng'ombe wa kienyeji.

Kwa mfugaji au mfugaji mtarajiwa ambaye anabanwa sana na shughuli/kazi nyingine ambazo zinamfanya akose muda mwingi wa kuwa shambani au kwenye mifugo yake ng'ombe wa Girolando ni mzuri kumfuga kwani haitaji uangalizi mkubwa.
Kwenye ukurasa wa Instagram wa africa_kilimo_news_ tumeandika habari ya mfugaji Lazaro Ludovick anayefuga Girolando 16 na kupata mafanikio makubwa kwenye ufugaji wake tofauti na mwanzo alivyokuwa anafuga Friesian.

sddefault.jpg
 
Ahsante kwa taarifa muhm.. Swali langu je hao ng'ombe ni maalum kwa maeneo yenye hali ya hewa ya joto pekee? Na kama mtu akihitaji kuwafuga mkoa wa iringa, njombe, ruvuma au mbeya wanaweza kumudu hali ya hewa ya huko na kutoa ufanisi uleule..? Ahsante
 
Hao ng'ombe wana asili ya brazil, kwa huko kwao wanatoa zaidi ya lita 120 kwa siku tena wanakamuliwa mara tatu asubuhi, mchana na jioni.
Ni mchanganyiko wa zebu wa India na holstein- friesian.
Kenya wametangaza wanayo hiyo mbegu ila sifa zake haziendani na huyo wa brazil
 
Ng'ombe huyu ana asili ya Brazil anatokana mchanganyiko wa ng'ombe wa asili Gyr na Friesian.

Anasifika kwa kutoa maziwa mengi Girolando jike aliyezaa mara ya kwanza anaweza kutoa hadi lita 18 kwa siku na aliyezaa mara ya pili anaweza kufikisha lita 30 kwa siku.

Sifa nyingine ambayo inafanya wafugaji wapende kufuga Girolando ni uwezo mkubwa wa kuvumilia magonjwa,joto kali na mazingira magumu.Ni tofauti na ng'ombe wengine wa kisasa kama Friesian au Ayrshire ambao pia wanatoa maziwa mengi lakini hawavumilii joto wala magonjwa na ufugaji wa aina hiyo ya ng'ombe unahitaji uangalizi mkubwa lakini Gorolando anaweza kuchungwa au kufugwa kama ng'ombe wa kienyeji.

Kwa mfugaji au mfugaji mtarajiwa ambaye anabanwa sana na shughuli/kazi nyingine ambazo zinamfanya akose muda mwingi wa kuwa shambani au kwenye mifugo yake ng'ombe wa Girolando ni mzuri kumfuga kwani haitaji uangalizi mkubwa.
Kwenye ukurasa wa Instagram wa africa_kilimo_news_ tumeandika habari ya mfugaji Lazaro Ludovick anayefuga Girolando 16 na kupata mafanikio makubwa kwenye ufugaji wake tofauti na mwanzo alivyokuwa anafuga Friesian.

View attachment 3643204
Bado hafikii Fresian kwa maziwa,
 
Hao ng'ombe wana asili ya brazil, kwa huko kwao wanatoa zaidi ya lita 120 kwa siku tena wanakamuliwa mara tatu asubuhi, mchana na jioni.
Ni mchanganyiko wa zebu wa India na holstein- friesian.
Kenya wametangaza wanayo hiyo mbegu ila sifa zake haziendani na huyo wa brazil
Hizo ni stories tu, Kenya wapo na hata Tanga wapo sijui kama mnajua hilo
 
Ng'ombe huyu ana asili ya Brazil anatokana mchanganyiko wa ng'ombe wa asili Gyr na Friesian.

Anasifika kwa kutoa maziwa mengi Girolando jike aliyezaa mara ya kwanza anaweza kutoa hadi lita 18 kwa siku na aliyezaa mara ya pili anaweza kufikisha lita 30 kwa siku.

Sifa nyingine ambayo inafanya wafugaji wapende kufuga Girolando ni uwezo mkubwa wa kuvumilia magonjwa,joto kali na mazingira magumu.Ni tofauti na ng'ombe wengine wa kisasa kama Friesian au Ayrshire ambao pia wanatoa maziwa mengi lakini hawavumilii joto wala magonjwa na ufugaji wa aina hiyo ya ng'ombe unahitaji uangalizi mkubwa lakini Gorolando anaweza kuchungwa au kufugwa kama ng'ombe wa kienyeji.

Kwa mfugaji au mfugaji mtarajiwa ambaye anabanwa sana na shughuli/kazi nyingine ambazo zinamfanya akose muda mwingi wa kuwa shambani au kwenye mifugo yake ng'ombe wa Girolando ni mzuri kumfuga kwani haitaji uangalizi mkubwa.
Kwenye ukurasa wa Instagram wa africa_kilimo_news_ tumeandika habari ya mfugaji Lazaro Ludovick anayefuga Girolando 16 na kupata mafanikio makubwa kwenye ufugaji wake tofauti na mwanzo alivyokuwa anafuga Friesian.

View attachment 3643204
HAWA ng'omne hawana hizo siga wanao pewa, Kenya kuna mjadala nilion kuhusu hawa Ng'ombe.

Na Tanga wapo pia kuna watu wanao
 
Back
Top Bottom