Amevumbua nini? Nikisema Nakojoa/nakunya/natema mate etc, mfano, nimegundua nini hapo, au sielewi nielewesheuvumbuzi ambao mpaka sasa kesi bado ipo mahakamani kufuatia kutokukubaliana fidia na mtandao wa simu ya Vodacom.
Acha kujitoa akili! Umeambiwa amevumbua mfumo wa huduma ya please call me katika mawasiliano ya simu. Ukisema unakunya/ unakojoa si kinywa chako tu kinakuwa kimeamua kuropoka! Yaweke hayo maneno yako machafu katika mfumo rasmi wa mawasiliano ambapo kila anayehitaji kuyatumia hatalazimika kuyaandika ila atabofya codes flan then ujumbe unafika ulipokusudiwa.amevumbua nini? Nikisema Nakojoa/nakunya/natema mate etc , mfano, nimegundua nini hapo
Muda mwingine mpumbavu hujibiwa kwa upumbavuu safii sana.Acha kujitoa akili! Umeambiwa amevumbua mfumo wa huduma ya please call me katika mawasiliano ya simu. Ukisema unakunya/ unakojoa si kinywa chako tu kinakuwa kimeamua kuropoka! Yaweke hayo maneno yako machafu katika mfumo rasmi wa mawasiliano ambapo kila anayehitaji kuyatumia hatalazimika kuyaandika ila atabofya codes flan then ujumbe unafika ulipokusudiwa.
Aisee!Amevumbua nini? Nikisema Nakojoa/nakunya/natema mate etc, mfano, nimegundua nini hapo, au sielewi nieleweshe
Amevumbua nini? Nikisema Nakojoa/nakunya/natema mate etc, mfano, nimegundua nini hapo, au sielewi nieleweshe
nieleweshe please, mimi sijui........Ungelijua kiasi gani mvumbuzi wa JUST DO IT usingesema maneno hayo bali ungelikuwa unachakarika kuvumbua neno nawe ule mpunga wa maana.
Rudi hapa utufafanulieUngelijua kiasi gani mvumbuzi wa JUST DO IT usingesema maneno hayo bali ungelikuwa unachakarika kuvumbua neno nawe ule mpunga wa maana.
Kuna maamuzi ya Mahakama yametoka jana. Nimeweka thread hapa;-Jamaa alishindwa hii kesi