Mfahamu Producer Mikka Aleksanteri Kari A.K.A Mika Mwamba

Elimu dunia ya daz baba itabaki kuwa ngoma kali ya kushirikiana.

Hapa Daz baba pale Afande sele halafu Ferooz anamalizia verse kwa peak ya juuu. Asee ile ngoma itaishi.

Heshima za kipekee ikufikie popote ulipo ndugu MIIKA kwa ngoma hiyo
 
Aisee umenikumbusha mbali sana. Umeandika vizuri sana nilitaka nikae kimya lakini imebidi niongee.
 
Asee beat zake zilikua noma
 
Miziki mingi ya sasa nashindwa sikiliza sbb ya beat zao hazina quality hata diamond kuna nyimbo zinambeba sbb ya ukubwa wake wa muziki but hazipo sawa.
Enzi za bongo flava unasikiliza kweli mziki now days sio beat wala mashairi hakuna kitu
 
Nifikishieni salam zangu kwa kile kitoto kilichovimbiwa, alinganishe hizi ngoma na kazi zake zote alizowahi kufanya tangu aje duniani

Rose. Mad Ice

Elimu Mtaani. D Knob

Twenzetu. Chege

Kamanda. Daz Nundaz

Kikongwe. Picco
 
Naikumbuka ile ngoma ya Dudu Baya Oilichafu, Mamba. Ilikuwa inaitwa kitu kama Simika mzizi

Ilikuwa ni ngoma kali, mi nlikuwa chalii ila wajomba walikuwa wanaichapa Sana
 
Kafanya ngoma nyingi but beat ya balozi "Kwenye Chati" hakutakuja kutokea banger kama lile..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…