Mfahamu Producer Mikka Aleksanteri Kari A.K.A Mika Mwamba

Story nzuri Ila ina uongo flani ndani yake
Miika alikuja bongo Kama field, field ikiisha si unarudi sasa iweje ashangae kutakiwa kurudi?

Alafu unasema aliporudi Finland alisikia anapaswa kwenda Zambia Ila akaghairi njiani na kuja bongo. Umezungumza kama kitu kilichotokea overnight wakati ilipita miaka mingi sana ndio akaja tena bongo

Unasema wimbo wa Ziggy d ulimfanya aonekane producer anayekuja kwa kasi wakato tayari alishakua producer mkubwa na alikua anakaribia kurudi kwao

Alikua muelewa na alipenda sana kusikiliza wasanii, hapa ulipaswa usigeneralize, miika hakutka kabisa kuwasikiliza wala kuwaelewa Nako 2 nako na akagoma kuwafanyia kazi, tena Lord eyes alitaka hadi kumpiga.

NB: Producer bora kabisa, lakini kuna sehemu umeweka chumvi
 
Miikka Mwamba kama angekuwa kafanya albamu ya Saida Karoli na ule wimbo wa Eno Maiki tu tayari angekuwa kaingia katika list ya ma producers bira kabisa kufanya kazi Tanzania.

Ukisikikiza beat za albamu ya Saida Karoli, ukisikikiza beat za Eno Maiki, kama unaujua muziki, utagundua unasikikiza kazi ya producer anayejua anachofanya.

Lakini alifanya kazi nyingi sana nzuri, zenye vionjo vya Kitanzania. Miikka alikuwa anaweka vionjo fulani vya muziki wa asiki kwenye hip hop kwa namna ambayo hakuna producer mwingine yoyote wa Tanzania aliyeweza kufanya.

It was so ironic kwamba producer mzungu ndiye katupa muziki mzuri wenye vionjo vya Kitanzania.

Miika Mwamba sijui kaachiwaje mpaka kaondoka lakini jamaa aliupandisha muziki wa Tanzania mpaka watu wa Kampala wakawa wanamuita "Mzungu wa Tanzania".
 
Wimbo wa saida karoli chambua kama karanga na eno mike kafanya mbona

Kuondoka sababu ni mmiliki na boss wake wa FM studio aliyokua anafanya kazi Mzee Muta alikua hamlipi vizuri na kwa wakati. Sasa badala ya kulipa direct kwa ofisi ikabidi muwe mnakubaliana na miika bila boss kujua. Sababu zingine ni minor tu
 
Najua kafanya albamu ya Saida Karoli na Eno Maiki.

Nasema kwamba kama hizo ndizo zingekuwa kazi zake zote alizofanya Tanzania tayari angekuwa legend, lakini kafanya zaidi.

Hayo mambo ya malipo huwa tunajizibia wenyewe. Miikka alikuwa producer wa kiwango cha kimataifa na huyo Mzee Muta angejua kukaa naye vizuri wangekamata soko kubwa na kufanya kazi nzuri sana, kimataifa.

Ila tamaa ya kupata pesa haraka bila ya kuwa na vision ya nuda mrefu inatunyima mambo mengi mazuri.
 
Pia kwaya alikua anafanya sana, kina cosmas chidumulo zile nyimbo zilizotamba yeye ndio alitengeneza.

Kwenye muziki wa bendi pia katengeneza nyingi th, alitengeneza sana nyimbo za kina muumin mwinjuma na zikatamba sana

Alikua talented sana, kila muziki aliweza kutengeneza na ukafika mbali. Leo kuna mtu humu anamlinganisha miika mwamba na s2keezy

Mzee muta kama angeweza kumtumia vizuri miika basi wangeteka soko kubwa zaidi, lakini mambo ya pesa huwa na uadui sana
 
‘CHAMBUA KAMA KARANGA’ SINGER SAIDA KAROLI EXPLAINS HOW SHE ENDED UP LANGUISHING IN EXTREME POVERTY

JUNE 11, 2024 10:19 AM

ENTERTAINMENT

Saida Karoli, a renowned Tanzanian composer and singer of traditional songs, recently shared her reflections on past regrets and financial mismanagement during her musical career.

Known for her vibrant presence in the music scene during earlier years, Karoli has been less visible recently.

In an exclusive interview with Global TV, she revealed the reasons behind her diminished public presence and her current lifestyle.

Karoli disclosed that she relocated from the bustling commercial city of Dar es Salaam to her hometown Bukoba in the Kagera region, where she now lives a simpler life, even engaging in hunting to make ends meet.

Despite her musical success in Dar es Salaam, she admitted that she failed to secure long-term financial stability or build a house during her years in the city.

“Dar nilikata tamaa nikarudi Mwanza na nilikuwa nafanya kazi na Wasukuma. Ilikuwa ni kazi ngumu sana ambapo hakuna hata nyumba ya kulala, ni pori hadi pori. Ile kazi mimi niliamua kujikaza ili nipate nyumba, nipate kiwanja na nijenge,” Karoli recounted.

She explained that she struggled significantly upon returning to Mwanza, living with her sons in rented accommodations and paying daily for their stay.

Faced with financial difficulties, she resorted to performing at small events to earn money.

Her perseverance eventually allowed her to acquire a plot of land and build a house, though this came after a period of intense hardship and personal sacrifice.

“Nilijiuliza ninawezaje pata kiwanja nijenge nyumba ya kwangu, maana nimeenda Dar es Salaam miaka 9 na sijafanya kitu, ulipofika mwaka wa 10 nikaamua kufunganya na kurudi Mwanza. Hapa niliingia kwa gesti bubu nalipa 4k kila siku. Nikajiuliza nawezaje pata sehemu ya watoto wangu kutulia.

“Ilibidi nizame, nikajifunga kweli mkanda tumboni, sikujali hela yoyote, gemu nikapiga msimu mmoja nikajenga nyumba,” she said.

Reflecting on her inability to build a house during her peak years, Karoli attributed her struggles to poor financial management and the absence of proper guidance.

She emphasized the importance of having someone to provide advice and direction, something she lacked during her time in Dar es Salaam.

“Huko nyuma, unajua kipato si tatizo, tatizo mtu wa kukushika mkono akakuongoza. Mimi hela nilikuwa naipata ila muongozo nilikuwa sina, yaani mtu wa kunishika mkono, ushauri, akaniongoza fanya hiki, fanya kile, usile hela hii, hii hela naishikilia sikupi ili tufanye hiki maana kuna kesho na kesho kutwa, hicho kitu ndicho nilikuwa sina, nilikikosa kabisa,” Karoli said.

She highlighted that it was only after moving to Mwanza that she gained a better understanding of financial responsibility.

The veteran singer secured a plot of land through a benefactor who allowed her to build first and pay later. This support enabled her to finally construct her own house and stabilize her living situation.

Karoli’s story serves as a poignant reminder of the importance of financial literacy and management, even for those experiencing significant success.

Her journey from stardom to financial struggle and eventual stability underscores the challenges many artists face and the critical need for proper financial guidance.

Saida Karoli is most famous for her hit song ‘Maria Salome’ which is part of her ‘Chambua Kama Karanga’ album.

Diamond Platnumz and Rayvanny did a rendition of Saida Karoli’s ‘Maria Salome’ in 2016 when they dropped their collabo dubbed ‘Salome’.

JUNE 11, 2024 10:19 AM

MARIA WAMBUI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…