Mfahamu rafiki mpya wa wema, Muna na "UTAJIRI" wa kutisha

Hatukatai maendeleo ya MTU lakini kama mdau alivyokwisha tangulia kama tungeona sehemu anayofanyia kazi bila shaka dhahiri, shayiri kwel ana pesa. Lakini kumbuka maendeleo ya mwanamke asiyeolewa................
 
ila kauso kamuna huwaga sikaelewi!
chaaa!
ule wanja wake sasa!
 
Ana pesa chafu,kisha unatuonyesha Prado !!!!! Mi nilikuwa natafuta sehemu utakayosema shughuli yake au biashara anayofanya, sio kutuonyesha gari ambayo kwa Dar ni sare ya jiji.
Ebu mwambie!mtu kubadisha mashati na saa mkononi ndio Nina pesa chafu....kweli mtoa mada anaziingua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…