Mfahamu rafiki mpya wa wema, Muna na "UTAJIRI" wa kutisha

Kweli kwenye maisha hakuna aijuaye kesho , huyu demu alikuaga anaigiza kipindi hicho tamthilia za ITV, kala msoto wa nguvu lakini hakufanikiwa kutoka, baadae akaja kuibuka kwa Lulu akawa bodyguard kama sio secretary wa Lulu, kutwa akawa anagandana na Lulu, baadae naona ubest ukafa.

Siku si nyingi akaibukia kwa madame wema sepetu, unaambiwa sasa hvi Ana pesa chafu na ndie anayemsaidia shoga ake wema Sepetu karibia kila kitu, sasa sijui aka amepata wapi jeuri ya pesa.

View attachment 400952
Hawachelewi kuuza madawa ya kulevya, maana wanapeda short cut
 
Kuna watu wanatamani hili lingekuwa kaburi ili walifukue![emoji28][emoji28][emoji28]
 
Kweli kwenye maisha hakuna aijuaye kesho , huyu demu alikuaga anaigiza kipindi hicho tamthilia za ITV, kala msoto wa nguvu lakini hakufanikiwa kutoka, baadae akaja kuibuka kwa Lulu akawa bodyguard kama sio secretary wa Lulu, kutwa akawa anagandana na Lulu, baadae naona ubest ukafa.

Siku si nyingi akaibukia kwa madame wema sepetu, unaambiwa sasa hvi Ana pesa chafu na ndie anayemsaidia shoga ake wema Sepetu karibia kila kitu, sasa sijui aka amepata wapi jeuri ya pesa.

View attachment 400952

Bongo movie wana maisha ya kuigiza sana
 
Hela za kuzushia mwanawe kalazwa anaumwa ndizo alizokua akitamba nazo
 
kaburi limefukuliwa....huo utajiri ulienda wapi mbona pesa ya kumuuguza mtoto wake alichangishiwa?.

ila sishangai sana maana enzi za mzee jk wakaka na wadada wa mujini walikuwa na pesa sana.
 
Ko mwanae tunapata was was kifo chake acheni utajili malipo mkalime mpate halali
 
Mwenye Pesa kuliko wasanii wote Bongo ni askofu Kakobe tu.
 
Back
Top Bottom