Hawachelewi kuuza madawa ya kulevya, maana wanapeda short cutKweli kwenye maisha hakuna aijuaye kesho , huyu demu alikuaga anaigiza kipindi hicho tamthilia za ITV, kala msoto wa nguvu lakini hakufanikiwa kutoka, baadae akaja kuibuka kwa Lulu akawa bodyguard kama sio secretary wa Lulu, kutwa akawa anagandana na Lulu, baadae naona ubest ukafa.
Siku si nyingi akaibukia kwa madame wema sepetu, unaambiwa sasa hvi Ana pesa chafu na ndie anayemsaidia shoga ake wema Sepetu karibia kila kitu, sasa sijui aka amepata wapi jeuri ya pesa.
View attachment 400952
Kweli kwenye maisha hakuna aijuaye kesho , huyu demu alikuaga anaigiza kipindi hicho tamthilia za ITV, kala msoto wa nguvu lakini hakufanikiwa kutoka, baadae akaja kuibuka kwa Lulu akawa bodyguard kama sio secretary wa Lulu, kutwa akawa anagandana na Lulu, baadae naona ubest ukafa.
Siku si nyingi akaibukia kwa madame wema sepetu, unaambiwa sasa hvi Ana pesa chafu na ndie anayemsaidia shoga ake wema Sepetu karibia kila kitu, sasa sijui aka amepata wapi jeuri ya pesa.
View attachment 400952
Hela za kuzushia mwanawe kalazwa anaumwa ndizo alizokua akitamba nazoKweli kwenye maisha hakuna aijuaye kesho , huyu demu alikuaga anaigiza kipindi hicho tamthilia za ITV, kala msoto wa nguvu lakini hakufanikiwa kutoka, baadae akaja kuibuka kwa Lulu akawa bodyguard kama sio secretary wa Lulu, kutwa akawa anagandana na Lulu, baadae naona ubest ukafa.
Siku si nyingi akaibukia kwa madame wema sepetu, unaambiwa sasa hvi Ana pesa chafu na ndie anayemsaidia shoga ake wema Sepetu karibia kila kitu, sasa sijui aka amepata wapi jeuri ya pesa.
View attachment 400952
people may forget but the internet won't forget.tuwe makini na maisha yetu ya mitandaoni