Ukitaka utapata, lakini lazima uingie ktk matandao wa hawa mabinti, na uwe na quality kama zao, madalali wakujue, hawa ndiyo ma connector wazuri kwa wadau na warembo, ila simu yako itakuwa busy sana, itabidi utafute line rasmi kwa issue hizo, nyingine ibaki ya family na ndugu, ukiwa site line yao unazima au always ibaki silent!.
Hahhaha MZIMU watakwambia hawafuati ladha wanafuata mapishi sasa sijui wakishakula wanacheua micheuo tofauti mwe! Ni Shiiiiidaaaa mjini hapa. Huyu Clement huyu, ngoja tu ninyamaze!Mtamaliza maduka, Nyama ni ile ile tu. Ukiila Sinza, Magomeni, au Gongo la Mboto. Ladha ile ile.
Jamani picha ya Clement wapiii hua anaongelewaa tu marq kigogo wa ikulu mara kigogo wa airpot lolll
Huyu Clement Si Ana mke Jamani??? Kwa nini kutwa kiguu na Njia hatulii kwa mkewe?? Au mkewe Hana nguvu za kike???
Kumbe ni kama kazi aiseee
Hako ka naima nitsfutie namba yake mkuu wangu. Mndengereko
Kama unaweza kuhonga gari na kumuwekeaa pesaa kama milion50 kwenye akaunti yake sema haraka nikuunganishee au unataka kupeleka kisura chako cha mapenzi !!
basi nimegairi nataka mtu aniunganishe na wewe hapo mrembo
Hako ka naima nitsfutie namba yake mkuu wangu. Mndengereko
tuache masihara mkuu Mndengereko huyu mtoto ni pini balaa hata wema hafiki. Hivi bongo watt wazuri kama hawa jamani wanafichwa wapi au ndip viwanja wanavo hang around ni levo nyingine kabisa? maana its obviously huwez mkuta mtt kama huyu breakpoint au Bills. daah,itabid mim na mkuu wangu wa kazi WAHEED SUDAY tudevelop android app yakukamata vipusa vikali kama hivi!