Mfahamu Richard Justine, kit manager wa Malawi National team

Mfahamu Richard Justine, kit manager wa Malawi National team

The Genius

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2018
Posts
822
Reaction score
2,095
Pichani, huyo mwamba anaitwa Richard Justine,ndiye kit manager wa Malawi National team.

Mwamba panga pangua,hiyo nafasi ya kit manager humtoi,kama kazaliwa nayo vile,ni moja ya watu muhimu sana pale national team ya malawi.

Huyu jezi zote za wachezaji na viatu lazima vipite mikononi mwake.

FJxHXG3XMAALxL-.jpg
 
Pichani,huyo mwamba anaitwa Richard Justine,ndiye kit manager wa Malawi National team.

Mwamba panga pangua,hiyo nafasi ya kit manager humtoi,kama kazaliwa nayo vile,ni moja ya watu muhimu sana pale national team ya malawi.

Huyu jezi zote za wachezaji na viatu lazima vipite mikononi mwake.View attachment 2095750
Kama kaka yake George Magere Masatu.
 
Ndiyo mana!! 🤔 nilishangaa sana kuona mipira inapaa tu juu ya lango lao, na pia kugonga mwamba mara kadhaa!!

Yaani Mhango anafunga goli umbali wa mita 40! Goli kipa anadaka mpaka unashangaa! Kumbe sababu ni Kit Manager.
 
Back
Top Bottom