Mfahamu Sabrina Wanjiku, Mkenya Ambaye Aliiwakilisha Nchi Yake Kwenye Mchezo Wa Alpine Skiing, Winter Olympics 2018 Kule Pyeongchang, S.Korea

Mfahamu Sabrina Wanjiku, Mkenya Ambaye Aliiwakilisha Nchi Yake Kwenye Mchezo Wa Alpine Skiing, Winter Olympics 2018 Kule Pyeongchang, S.Korea

1715040.jpg
https://www.nation.co.ke/lifestyle/...inter-Olympics/1214-4289210-n4qyex/index.html Sabrina Wanjiku, ama 'Snow Leopard' mwenye umri wa miaka 19, ndiye mwanamke mkenya wa kwanza kushiriki kwenye Winter Olympics. Mkenya wa kwanza alikuwa manager wake, Phillip Boit kwenye Winter Olympics 1998 kule Nagana, Japan. Miaka miwili kabla ya kushiriki kwenye Olympics Sabrina alishiriki kwenye Winter Youth Games, 2016/17. Baadaye mwaka uliopita akashiriki pia kwenye World Skiing Championship, St. Moritz na hapo ndipo alipofuzu kushiriki kwenye Winter Olympics 2018 na akapata ufadhili wa Ksh12M kutoka kwa KEB HanCard ya S.Korea.
D0AA2BD2-76A4-4FFC-92E8-E213637E745E-v0-h.jpg
sp-kenya-a-20180211-870x580.jpg
Hawajui kenya kuna Winter snow[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
DD5y5u5V0AAMvA7.jpeg
 
Kweli kabisa, ila hao wanaoimba upuuzi wakitumia jina la mungu ndio huwa wanapigiwa promo kila uchao, kutoka asubuhi hadi jioni. Kwenye magazeti, matelevisheni, radio, kwenye roadshows na concerts za kampuni kama Safaricom na K.C.B. What happened to the good old days of cool, secular but educative music? How comes no one is listening to the beautiful Mayonde?
Chanzo cha muziki kudorora Kenya ni hii lugha ya sheng'.Watu wanayoielewa hii lugha wengi wao ni vijana wa kikenya.Even songs sang in vernacular has more audiences in Kenya than these songs.
 
Chanzo cha muziki kudorora Kenya ni hii lugha ya sheng'.Watu wanayoielewa hii lugha wengi wao ni vijana wa kikenya.Even songs sang in vernacular has more audiences in Kenya than these songs.
Lets agree to disagree. Alafu sheng haiendi popote, pitia pitia mitandaoni utapata Sheng Dictionary, uji'refresh' kidogo. [emoji1] Sheng inabadika kila wiki, naskia mabazenga siku hizi wanaitwa mabangdingding. 😕 Chisos!!! [emoji15]
 
😂😂maneno mengine huwa siyaelewi japo naelewa sheng' vizuri sana. Wanabadilisha kila uchao
 
Back
Top Bottom