Arnold mrass cannambo
JF-Expert Member
- Apr 13, 2018
- 4,067
- 2,640
Hawajui kenya kuna Winter snow[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]https://www.nation.co.ke/lifestyle/...inter-Olympics/1214-4289210-n4qyex/index.html Sabrina Wanjiku, ama 'Snow Leopard' mwenye umri wa miaka 19, ndiye mwanamke mkenya wa kwanza kushiriki kwenye Winter Olympics. Mkenya wa kwanza alikuwa manager wake, Phillip Boit kwenye Winter Olympics 1998 kule Nagana, Japan. Miaka miwili kabla ya kushiriki kwenye Olympics Sabrina alishiriki kwenye Winter Youth Games, 2016/17. Baadaye mwaka uliopita akashiriki pia kwenye World Skiing Championship, St. Moritz na hapo ndipo alipofuzu kushiriki kwenye Winter Olympics 2018 na akapata ufadhili wa Ksh12M kutoka kwa KEB HanCard ya S.Korea.