Mtoto wa ZamaradiSalah wa Liverpool au
Tajiri MtataView attachment 885052
Warumi mimi najua kuhonga, hebu njoo unidange, nitakupa bata za kufa mtu.Raha ya danga upate mzuri halafu mwenye pesa , halafu anajua kuhonga, mbona uwoya maisha yake , sasa hvi dollar hazimpig chenga, sema na akumbuke tu kuji invest , awaulize akina wema yaliyowakuta, sasa hvi wanalilia majina
Si yule nyota wa liverpool aliyetenguliwa bega world cup!Mbona hujamuelezea huyo Salaa ili tumjue zaidi kama ulivyotulisha hapo kwenye kichwa cha uzi