Tetesi: Mfahamu Salaah , danga jipya la Irene Uwoya

Tetesi: Mfahamu Salaah , danga jipya la Irene Uwoya

Hawa mabinti wa bongo muvi wana akili za kijasiriamali sana...huwa wanahakikisha wanakaa na Mtu ambaye hawezi kuanzishiwa ugomvi kwa ajili yao.

Sponsor akipaniki anaambiwa "loo na wewe..unakaonea wivu hata kale"

Ndio mbinu za kina Wolper, Shishi...nadhani Shishi ameshastaafu huko.
Kumbe sponsor ndiyo habari ya mujini. Sponsor wangu Asprin
 
Ila dogo nae sijui akili haijakua,yani pale ndo aliona ni mke amepata..umep pole mkuu ukimuona huko.
 
Ila jamani huyu dogo janja anajitafutia ugonjwa wa moyo aje kufa bure siku si zake, sasa na yeye kwa akili zake kabisa akajua mwenyewe atamtuliza uwoya ? , namuonea huruma sana aiseeh

Uwoya sasa hvi yuko busy na danga lake jipya na tattuuu Kajichora, mtoto anapewa bata la nguvu , Mara Dubai , sasa hivi anazunguka tu kila sehemu anakula bata , dogo Janja naona anamlinda krish na nyumba

Kwanza huyo dogo janja anaishi kwenye nyumba ambayo mlipaji kodi ni salaa, yani haka katoto kalijiona kajanja kumpata uwoya , ngoja anyooshwe vizur kwanza
Duuh kwa hiyo matanuzi yote yale bado anapanga kumbe?
 
Watu wengi humu akili zenu sio za kupambanua mambo..dogo janja alimuolea tu huyo salaah kuepusha shari labda kwa familia yake..hata kitu kidogo km hichi mnashindwa pambanua? Hakuna ndoa kati ya Irene na dogo janja hilo nakataa.
 
Tunajua hakuna sana , Ila wanataka kiki , si kama tu fey na Kiserengeti chake
 
tattoo ndio unaiona leo mkuu?

mbona hyo tattoo ni muda sana hata kabla ya ile harusi yake fake na huyo dogo

na baada ya tattoo hadi watu walijua anaolewa na salah lakni wakashangaa kaolewa na janjaro

tattoo ina muda sana hyo
 
Raha ya danga upate mzuri halafu mwenye pesa , halafu anajua kuhonga, mbona uwoya maisha yake , sasa hvi dollar hazimpig chenga, sema na akumbuke tu kuji invest , awaulize akina wema yaliyowakuta, sasa hvi wanalilia majina
Hahaha ila warumi, we si juzi ulikua unamtetea wema kuwa jina ni brand ana haki ya kulilia hahaha
 
Mwambieni huyo Dogo Janja kuwa kina salaa ndiyo wale waliomuua yule jamaa aliyemwagia ndugu yao tindikali.
 
Watu wengi humu akili zenu sio za kupambanua mambo..dogo janja alimuolea tu huyo salaah kuepusha shari labda kwa familia yake..hata kitu kidogo km hichi mnashindwa pambanua? Hakuna ndoa kati ya Irene na dogo janja hilo nakataa.
Ina maana yale mambwembwe yote ya nn? au irene pale alikuwa anashot Bongo movie na dogo janja anatunga video Ya mziki?
 
Back
Top Bottom