R ruaharuaha JF-Expert Member Joined Feb 14, 2018 Posts 3,586 Reaction score 3,857 Jan 14, 2022 #101 balibabambonahi said: Itakuwa Manchester united. Click to expand... Itasaidia kujua kodi zetu zinawalipia watu gani. Wake wenza watatu, watoto na wajukuu lukuki, pia yeye ametoka wapi. NiRas asiyejali Watanganyika. Asingefanya haya anayoyafanya angekuwa kiongozi Zanzibar.
balibabambonahi said: Itakuwa Manchester united. Click to expand... Itasaidia kujua kodi zetu zinawalipia watu gani. Wake wenza watatu, watoto na wajukuu lukuki, pia yeye ametoka wapi. NiRas asiyejali Watanganyika. Asingefanya haya anayoyafanya angekuwa kiongozi Zanzibar.
KING KIGODA JF-Expert Member Joined Dec 28, 2018 Posts 3,893 Reaction score 3,145 Jan 14, 2022 #102 Ameshapewa na Allah!Ndiyo basi ishakuwa hivyo.
mtu kitu JF-Expert Member Joined Apr 23, 2011 Posts 702 Reaction score 508 Jan 14, 2022 #103 kiangola said: Rais wa kwanza kutoka Zanzibar!.? Wa kwanza alikuwa Rais Alhaji Mwinyi. Click to expand... Ali Hasan Mwinyi si Mzanzibari, kama Jumbe nae pia sie.
kiangola said: Rais wa kwanza kutoka Zanzibar!.? Wa kwanza alikuwa Rais Alhaji Mwinyi. Click to expand... Ali Hasan Mwinyi si Mzanzibari, kama Jumbe nae pia sie.