Mchezaji wa kimataifa kutokea Ubelgiji aliyepata umaarufu mkubwa kwa kujifunga magoli matatu (hat-trick) ndani ya mechi moja
Stan van de buys aliyekuwa akiichezea timu ya Germinal ekeren.
mnamo msimu wa 1994 -1995 kwenye ligi ya Ubelgiji (The Belgian Jupiler league), timu ya Anderlecht ilijinyakulia ubingwa mnono wa magoli 3-2 dhidi ya Germinal ekeren hali ya kuwa magoli yote yalitokana na kujifunga kwa staa Van de buys. Tumfananishe na mchezaji gani hapa Bongo?
View attachment 1682594
Taratibu acheni maneno aisee.Weka kalio lako vizur hapo kwa shemeji yako.
Usitutishe
Duh hii labda kama aliamua mwenyewe.Huyo aliweka rekodi...! Ila kuna uzi mmoja hapa kuna jamaa alimaliza dk 90 uwanjani bila kugusa mpira....! Kuna watu wana rekodi we acha
Aisee
Na juice zake kutoka MadagascarCar-Bood
Wewe ndio una mentally disorderMcheki tabibu wenu hapo kijijini kwenu.Una matatizo ya afya ya akili.Nimekupa siri usimwambie mtu,utakwama.Najua umetania lakin usirudie tena utachapwa.
Huyo atakuwa JPMHuyo aliweka rekodi...! Ila kuna uzi mmoja hapa kuna jamaa alimaliza dk 90 uwanjani bila kugusa mpira....! Kuna watu wana rekodi we acha
Huyu famba anadhani kila mtu anaabudu binadamu mwenzakeWeka kalio lako vizur hapo kwa shemeji yako.
Usitutishe
Na juice zake kutoka Madagascar
Hapa karibuni kuna timu haikupiga hata shuti moja lililolenga goli katika dakika 90.Duh hii labda kama aliamua mwenyewe.
Ila juzi hapa kuna timu dk 90,haikutoa mpira nje.
😂😂😂😂 Mkuu ya kweli hayo ?? ..Kiboko yule wa Beki wa Orlando Pirates aliyesababisha kona kwa kupiga kichwa kilichogonga mwamba mpira ukatoka ikawa kona. Halafu kona ilipopigwa round hii akauweka kimiani na hivyo kuweka rekodi ya kuwa mchezaji wa kwanza kujifunga kwa kona aliyoitengeneza mwenyewe.
Kweli mkuu na jina wamempa Innocent Own Goal Maela.í ½í¸í ½í¸í ½í¸í ½í¸ Mkuu ya kweli hayo ?? ..
...na mwenzie Azam FCHapa karibuni kuna timu haikupiga hata shuti moja lililolenga goli katika dakika 90.