Mfahamu Stan Van De Buys aliyejifunga hat-trick ndani ya mechi moja

XII Tz

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2020
Posts
4,345
Reaction score
7,076
Mchezaji wa kimataifa kutokea Ubelgiji aliyepata umaarufu mkubwa kwa kujifunga magoli matatu (hat-trick) ndani ya mechi moja
Stan van de buys aliyekuwa akiichezea timu ya Germinal ekeren.

mnamo msimu wa 1994 -1995 kwenye ligi ya Ubelgiji (The Belgian Jupiler league), timu ya Anderlecht ilijinyakulia ubingwa mnono wa magoli 3-2 dhidi ya Germinal ekeren hali ya kuwa magoli yote yalitokana na kujifunga kwa staa Van de buys. Tumfananishe na mchezaji gani hapa Bongo?

images.jpg
 
Hawakumfanya chochote mashabiki wa timu yake?
Mchezaji wa kimataifa kutokea Ubelgiji aliyepata umaarufu mkubwa kwa kujifunga magoli matatu (hat-trick) ndani ya mechi moja
Stan van de buys aliyekuwa akiichezea timu ya Germinal ekeren.

mnamo msimu wa 1994 -1995 kwenye ligi ya Ubelgiji (The Belgian Jupiler league), timu ya Anderlecht ilijinyakulia ubingwa mnono wa magoli 3-2 dhidi ya Germinal ekeren hali ya kuwa magoli yote yalitokana na kujifunga kwa staa Van de buys. Tumfananishe na mchezaji gani hapa Bongo?

View attachment 1682594
 
Kiboko yule wa Beki wa Orlando Pirates aliyesababisha kona kwa kupiga kichwa kilichogonga mwamba mpira ukatoka ikawa kona. Halafu kona ilipopigwa round hii akauweka kimiani na hivyo kuweka rekodi ya kuwa mchezaji wa kwanza kujifunga kwa kona aliyoitengeneza mwenyewe.
 
😂😂😂😂 Mkuu ya kweli hayo ?? ..
 
Back
Top Bottom