Mfahamu Stan Van De Buys aliyejifunga hat-trick ndani ya mechi moja

Yule wa kuitwa Ninja, maeneo ya Otopoloni
 
Huyo aliweka rekodi...! Ila kuna uzi mmoja hapa kuna jamaa alimaliza dk 90 uwanjani bila kugusa mpira....! Kuna watu wana rekodi we acha
Yaani ile story huwa naiona kama fiction tu, DK 90 bila kugusa mpira kocha anakuangalia tu au hiyo mechi haikuwa na sub?
 
Kweli mkuu na jina wamempa Innocent Own Goal Maela.
Haha huyo mwamba itakua alidhamiria, haiwezekani unatengeneza kona alafu unatia kimiani 😂😂 ..
 
Huyo aliweka rekodi...! Ila kuna uzi mmoja hapa kuna jamaa alimaliza dk 90 uwanjani bila kugusa mpira....! Kuna watu wana rekodi we acha
Nilipoona ona huu Uzi nkawa nawaza kituko kingine cha mpira ambacho niliwah kukisoma hapa jf,umenikumbusha..........ila huwa nashangaa iliwezekanaje dk 90 bila kugusa
 
Pierre ISSA wa south Africa
World cup 98 France alijifunga mechi mbili..
Halafu akapata timu huko huko ufaransa ikamsajili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…