monopoly inc
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 5,256
- 11,377
Toka nizaliwe sijawahi kuona mtu muongo kama weweHuyu mwanafunzi hakuwahi kuongoza matokeo ya kidato cha sita, mwaka 2006.
Hata huu wastani wa kupata 98 sio kweli na alipaswa kuchukuliwa hatua na serikali kwa KUPOTOSHA umma.
Na isitoshe hakuna orodha yoyote ya wanafunzi bora iliyokuwa ikitolewa na serikali miaka ya nyuma.
Orodha ya wanafunzi bora kuanzia darasa la saba, kidato cha nne na kidato cha sita imeanza kutolewa mwaka 2016, kipindi cha rais Magufuli.
Usimlaumu sana huenda umri unachangia si unajua humu JF tupo na watoto.Toka nizaliwe sijawahi kuona mtu muongo kama wewe
Kabisaaa! Nadhani upo sahihi 100%Usimlaumu sana huenda umri unachangia si unajua humu JF tupo na watoto.
Maziku, upo siriasi kweli au unatuenjoy kwa elimu yako, tena engneer, unasema hakuna list iliyokuwa inatolewa!!?!Huyu mwanafunzi hakuwahi kuongoza matokeo ya kidato cha sita, mwaka 2006.
Hata huu wastani wa kupata 98 sio kweli na alipaswa kuchukuliwa hatua na serikali kwa KUPOTOSHA umma.
Na isitoshe hakuna orodha yoyote ya wanafunzi bora iliyokuwa ikitolewa na serikali miaka ya nyuma.
Orodha ya wanafunzi bora kuanzia darasa la saba, kidato cha nne na kidato cha sita imeanza kutolewa mwaka 2016, kipindi cha rais Magufuli.
Hiyo orodha ipo? Kama ipo naomba utuoneshe?Una miaka mingapi?
Hakuna orodha ya wanafunzi bora iliyokuwa ikitolewa miaka ya nyuma. Kama ipo! Tuoneshe?Usimlaumu sana huenda umri unachangia si unajua humu JF tupo na watoto.
Wekeni hiyo orodha hapa! Hata orodha ya kumi bora yoyote kabla ya mwaka 2016.Maziku, upo siriasi kweli au unatuenjoy kwa elimu yako, tena engneer, unasema hakuna list iliyokuwa inatolewa!!?!
Jipe muda wa kutafiti jambo brother kabla hujalibishia kiasi hiki.
Mimi orodha sina, ila nakumbuka miaka ya 2011/12, kuna jamaa waliitwa hadi bungeni, kwa kufanya vizuri kwenye mtihani wa taifa, CSSE.Hakuna orodha ya wanafunzi bora iliyokuwa ikitolewa miaka ya nyuma. Kama ipo! Tuoneshe?
Ndio maana yake! Wewe kipindi umemaliza shule hiyo orodha ilikuwa inatoka kama inavyotangazwa kipindi hiki?Mimi orodha sina, ila nakumbuka miaka ya 2011/12, kuna jamaa waliitwa hadi bungeni, kwa kufanya vizuri kwenye mtihani wa taifa, CSSE.
Hii ni orodha ya wanafunzi walifanya vizuri, mtihani wa taifa kidato cha Sita, 2011. Hapo wanatambulishwa bungeni.Wekeni hiyo orodha hapa! Hata orodha ya kumi bora yoyote kabla ya mwaka 2016.
Ndio maana yake! Wewe kipindi umemaliza shule hiyo orodha ilikuwa inatoka kama inavyotangazwa kipindi hiki?
Weee muongo bhana, mmmmmh wakati 2010 kidato cha 4 aliongoza mdada anaitwa lucylight mallya kutoka Marian Girls. Na 2013 mwaka huo akiwa 4m 6 aliongoza mkaka Erasmo Inyasse kutoka Ilboru. Sasa wee kuanzia 2016 umetoa wapi?Hakuna orodha ya wanafunzi bora iliyokuwa ikitolewa miaka ya nyuma. Kama ipo! Tuoneshe?
hebu tumsubiri aje.asije akasema hakumaanisha 2016 bali 2006Hii ni orodha ya wanafunzi walifanya vizuri, mtihani wa taifa kidato cha Sita, 2011. Hapo wanatambulishwa bungeni.View attachment 1508756View attachment 1508757View attachment 1508758View attachment 1508759View attachment 1508760
Nimeweka uthibitisho kwenye simulizi hii ya ukweli.Hivi kuna orodha yoyote inayoonesha huyu mwanafunzi aliongoza kidato cha sita mwaka 2006? Kama ipo, naomba utuoneshe?
Hahaa aiseeUsimlaumu sana huenda umri unachangia si unajua humu JF tupo na watoto.
Ebu weka orodha ya mwaka 2006.Hii ni orodha ya wanafunzi walifanya vizuri, mtihani wa taifa kidato cha Sita, 2011. Hapo wanatambulishwa bungeni.View attachment 1508756View attachment 1508757View attachment 1508758View attachment 1508759View attachment 1508760
Wekeni hizo orodha, siyo kutaja taja majina tu.Weee muongo bhana, mmmmmh wakati 2010 kidato cha 4 aliongoza mdada anaitwa lucylight mallya kutoka Marian Girls. Na 2013 mwaka huo akiwa 4m 6 aliongoza mkaka Erasmo Inyasse kutoka Ilboru. Sasa wee kuanzia 2016 umetoa wapi?
Yaani nasema, tupe orodha ya wanafunzi bora waliofanya vizuri kitaifa mwaka 2006.Mkuu japo sijui umri wako ila umeonekana ni mtu mvivu Sana wakufuatilia mambo.Au unataka mpaka Millady Ayo ndo apost habari fulani ndo ujenge Imani?
Hayo mambo ya wanafunzi bora yalikuwapo tangu muda sema hakukuwa na mass media nyingi ama social network ndio maana habari hazikwenda mbali kama leo hii.Ni sawa na kusema Diamond ndio msanii pekee kupata tuzo njee ya Tanzania kumbe walikuwako akina Juma Nature sema tuu wakati ule wenye access ya mass media walikuwa wachache hivyo hawapata kusikia habari Kama hii
Nasema hivyo nikiwa na maana ya kuwa kupata division one ya point III siyo kigezo cha kuwa mwanafunzi bora kitaifa. Kama hiyo orodha ipo, naomba utuoneshe.Nimeweka uthibitisho kwenye simulizi hii ya ukweli.
Inaonekana umesoma kichwa cha habari tu, jitahidi soma full utaona matokeo yake hapo chini