Hao ni matapeli! Orodha ya wanafunzi bora kitaifa imeanza kutangazwa rasmi mwaka 2016.Weee muongo bhana, mmmmmh wakati 2010 kidato cha 4 aliongoza mdada anaitwa lucylight mallya kutoka Marian Girls. Na 2013 mwaka huo akiwa 4m 6 aliongoza mkaka Erasmo Inyasse kutoka Ilboru. Sasa wee kuanzia 2016 umetoa wapi?
Wewe ulikuwa kijijini hukuyajua hayo.Hao ni matapeli! Orodha ya wanafunzi bora kitaifa imeanza kutangazwa rasmi mwaka 2016.
Hizo orodha za kuanzia mwaka 2016, 2017, 2018 na 2019 zipo na zinapatikana hata kwenye mitandao ya kijamii lakini orodha ya kuanzia mwaka 2015 kushuka chini hakuna orodha yoyote nikimaanisha hakuna kilichokuwa kinatangazwa kwa jamii.
Na hata huyu Elias Kihombo hakuongoza mwaka 2006 na hakuna anayejua kwa sababu hizo orodha zilikuwa hazitangazwi.
Ndio maana nikasema kama hiyo orodha ipo naomba utuoneshe. That's all!
Hakuna kitu kama hicho!Wewe ulikuwa kijijini hukuyajua hayo.
Wametangaza matokea ya best students kitaifa tangu way back 2000's
Hapana hauko sahihi hata kidogo, labda ungesema kuanzia 2006. Hap sawaHao ni matapeli! Orodha ya wanafunzi bora kitaifa imeanza kutangazwa rasmi mwaka 2016.
Hizo orodha za kuanzia mwaka 2016, 2017, 2018 na 2019 zipo na zinapatikana hata kwenye mitandao ya kijamii lakini orodha ya kuanzia mwaka 2015 kushuka chini hakuna orodha yoyote nikimaanisha hakuna kilichokuwa kinatangazwa kwa jamii.
Na hata huyu Elias Kihombo hakuongoza mwaka 2006 na hakuna anayejua kwa sababu hizo orodha zilikuwa hazitangazwi.
Ndio maana nikasema kama hiyo orodha ipo naomba utuoneshe. That's all!
Jamiiforums sio kijiwe! Kama hizo orodha zipo naomba utuoneshe!Hapana hauko sahihi hata kidogo, labda ungesema kuanzia 2006. Hap sawa
Ila kweli ukiwa doctor au engineer. Unakosa uwanja wa kuongellea unabaki kuumia tu na vidonda +makamasi (vitu vichafu vichafu na risk ya kupata maradhi)....Ma Genius wengi wanao rekebisha chand huishia kuwa walimu maana ndo kalama Mungu aliwapa wakafundishe na wengine.
Maana wakiwa madoctar na engineer watakosa uhuru wa kuji proud kwa watu.
Ila kweli ukiwa doctor au engineer. Unakosa uwanja wa kuongellea unabaki kuumia tu na vidonda +makamasi (vitu vichafu vichafu na risk ya kupata maradhi)....
Kaka mkubwa nitashangaa sana wewe kuona jambo la ajabu mtu mwenye uwezo kufeli chuo, kwa ufupi hao watu kwa kawaida wakikomaa na mambo yao fulanifulani huwa wanazembea na sometimes hawasomi kabisa hayo masomo, angalia waliojaliwa akili wakina bill gates na magenius wengi walikacha vyuo kwasababu nyingi na huko vyuoni wanatambua uwezo wao sana tu.Ni kweli labda jamaa alikuwa mkali kwenye Maths and Fizikia au sayansi kwa ujumla kwenye advance level, lakini kama unashindwa ku adapt University Education level ambapo unapewa kitumbuizi(introduction) na Lecturers halafu unaambiwa kasome mwenyewe na leta mrejesho wa 5000 words research essay eg. Discuss Finite Element Method in Engineering hapo ndio kazi, kama umezoweya kusolve ma equation kupata jibu.
Mbona walikuwa wanatangaza kabla ya mwaka 2016.. Au wewe ulikuwa tanzania ya wapi ??Matokeo ya wanafunzi bora, yaani kumi bora [ 10 ] - kuanzia darasa la saba, kidato cha nne na kidato cha sita yameanza kutangazwa rasmi mwaka 2016, kipindi cha rais John Pombe Magufuli.
Kabla ya hapo, yaani tangu kuundwa kwa Baraza la mitihani [ NECTA ], mwaka 1964 hadi mwaka 2015. Matokeo ya wanafunzi bora kwa hatua zote yalikuwa hayatangazwi.
Hivyo basi, huyu mwanafunzi anayetambulika kwa jina la Elias Kihombo, anayejinadi kama mwanafunzi aliyeongoza kidato cha sita mwaka 2006 sio yeye na ni tapeli kama walivyo matapeli wengine.
Ili kuondoa sintofahamu na kuzuia watu wa aina hii kwenye jamii na hata kutambua wale wanafunzi bora walioongoza kihalali tangu mwaka 1964 hadi mwaka 2015 kupewa haki zao kama wasifu wa kitaaluma.
Kama ilivyofanyika kwa mwaka wa 2016, 2017, 2018 na 2019 chini ya mamlaka ya rais yaani "Presidential Decree Order" au maarufu kama "OPD" tungeomba ifanyike vivyo hivyo kwa matokeo ya wanafunzi bora kwa miaka iliyopita, yaani kuanzia mwaka 1964 hadi mwaka 2015.
Hii itasaidia kuondoa makandokando yaliyokuwepo na yanayoendelea kuwepo kwenye baraza la mitihani [ NECTA ]. Kwani matokeo ya shule katika hatua zote - yaani darasa la saba, kidato cha nne na kidato cha sita yamekuwa yakikumbwa na udanganyifu na ulaghai wa kutisha!
Ukanda! Ukabila! Udini! Na hata rushwa zimekuwa ni nyenzo katika upangaji wa matokeo ya wanafunzi kwa hatua zote za elimu.
Hali ilikuwa mbaya zaidi kipindi cha mwaka wa 2005 hadi mwaka 2015, ambapo elimu ya Tanzania ilikuwa ni kama soko huria "Tanzania Education System was a form of a modernised market - the more you pay, the higher you score". Yaani anayelipa pesa nyingi ndiye anayepata matokeo mazuri bila ya kujali uwezo wa mwanafunzi husika.
Kwahiyo kutangaza matokeo ya wanafunzi bora kwa miaka ya nyuma itasaidia sana wahitimu waliopita kufahamu wasifu wao wa kitaaluma.
Huna unalojua kausha tuMatokeo ya wanafunzi bora, yaani kumi bora [ 10 ] - kuanzia darasa la saba, kidato cha nne na kidato cha sita yameanza kutangazwa rasmi mwaka 2016, kipindi cha rais John Pombe Magufuli.
Kabla ya hapo, yaani tangu kuundwa kwa Baraza la mitihani [ NECTA ], mwaka 1964 hadi mwaka 2015. Matokeo ya wanafunzi bora kwa hatua zote yalikuwa hayatangazwi.
Hivyo basi, huyu mwanafunzi anayetambulika kwa jina la Elias Kihombo, anayejinadi kama mwanafunzi aliyeongoza kidato cha sita mwaka 2006 sio yeye na ni tapeli kama walivyo matapeli wengine.
Ili kuondoa sintofahamu na kuzuia watu wa aina hii kwenye jamii na hata kutambua wale wanafunzi bora walioongoza kihalali tangu mwaka 1964 hadi mwaka 2015 kupewa haki zao kama wasifu wa kitaaluma.
Kama ilivyofanyika kwa mwaka wa 2016, 2017, 2018 na 2019 chini ya mamlaka ya rais yaani "Presidential Decree Order" au maarufu kama "OPD" tungeomba ifanyike vivyo hivyo kwa matokeo ya wanafunzi bora kwa miaka iliyopita, yaani kuanzia mwaka 1964 hadi mwaka 2015.
Hii itasaidia kuondoa makandokando yaliyokuwepo na yanayoendelea kuwepo kwenye baraza la mitihani [ NECTA ]. Kwani matokeo ya shule katika hatua zote - yaani darasa la saba, kidato cha nne na kidato cha sita yamekuwa yakikumbwa na udanganyifu na ulaghai wa kutisha!
Ukanda! Ukabila! Udini! Na hata rushwa zimekuwa ni nyenzo katika upangaji wa matokeo ya wanafunzi kwa hatua zote za elimu.
Hali ilikuwa mbaya zaidi kipindi cha mwaka wa 2005 hadi mwaka 2015, ambapo elimu ya Tanzania ilikuwa ni kama soko huria "Tanzania Education System was a form of a modernised market - the more you pay, the higher you score". Yaani anayelipa pesa nyingi ndiye anayepata matokeo mazuri bila ya kujali uwezo wa mwanafunzi husika.
Kwahiyo kutangaza matokeo ya wanafunzi bora kwa miaka ya nyuma itasaidia sana wahitimu waliopita kufahamu wasifu wao wa kitaaluma.
Weka hiyo orodha, hata ya 2015! Jamiiforums sio kijiwe, tuna watu wa kila aina humu!Mbona walikuwa wanatangaza kabla ya mwaka 2016.. Au wewe ulikuwa tanzania ya wapi ??
Mimi mwenywe nimemaliza kidato cha nne mwaka 2007 na kidato cha sita mwaka 2010.Mimi mwenywe nimemaliza 2009 lakin nawajua baadhi ya watu waliokuwa top 10..
Wewe unalolijua tuwekee orodha ya wanafunzi bora hapa πππHuna unalojua kausha tu
Na nikupe siri nyingine, wahitimu wengi wa Tanzania hawafahumu wasifu wao wa kitaaluma kwa sababu taarifa za kitaaluma zilikuwa haziwekwi wazi kabla ya mwaka 2016.Mbona walikuwa wanatangaza kabla ya mwaka 2016.. Au wewe ulikuwa tanzania ya wapi ??
Mimi mwenywe nimemaliza 2009 lakin nawajua baadhi ya watu waliokuwa top 10..
Izo ni none sense sasa what forWewe unalolijua tuwekee orodha ya wanafunzi bora hapa [emoji23][emoji23][emoji23]
Now you have to shut your mouth up! Is it necessary for you to comprehend on every topic? Take pills and chill!