monopoly inc
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 5,256
- 11,377
We mpumbavu pumbavu sana we si umetaka orodha umepewa unaanza tena utopolo wako[emoji23][emoji23] ya mwaka 2006 kidato cha sita iko wapi?
Huyu dogo mpuuzi tu anatuletea ujinga ujingaUnaona Sasa unavamia ishu huna uelewa nayo
Huyu mhusika unayenitajia hapa, anahusika nini? Au anahusika vipi na Elias Kihombo tunayehitaji kufahamu kama alikuwa wa kwanza au lah?Unazngua sana we jomba
Fanya mfuatilie hata kidogo basi
Msearch hata youtube ana interview alifanya na salama. Mkasi tv
Inategemea ulikuwa umeajiriwa wapi na kazi gani ulikuwa unafanya?Hata mimi sijawahi kusikia huo upuuzi anaosema.
Na nilishawahi kufanya kazi nje ya nchi ila sijawahi kuulizwa hayo makolokolo anayotaja hapa sasa sijui huko nje ni wapi alipodaiwa hivyo vitu.
Fungua hizo screen shots utapata list Ya wanafunzi waliofanya vizuri kidato cha nne mwaka 2005
View attachment 1546222View attachment 1546223View attachment 1546224View attachment 1546225View attachment 1546226
[emoji23][emoji23] ya mwaka 2006 kidato cha sita iko wapi?
We ni mpuuzi sana tena sanaHuyu mhusika unayenitajia hapa, anahusika nini? Au anahusika vipi na Elias Kihombo tunayehitaji kufahamu kama alikuwa wa kwanza au lah?
Inategemea ulikuwa umeajiriwa wapi na kazi gani ulikuwa unafanya?
Sio ubishi! Angekuwa ameongoza yeye hata hiyo orodha tusingekuwa tunaulizia? Jibu ni hakuongoza yeye! Kama hiyo orodha ipo hata wewe ungeenda NECTA kwenda kuulizia.Nenda necta mkuu
Acha ubishi
Issue ya Martin Jegere au Elias Kihombo? Hivi kuna haja ya kumfahamu kila mtu?Unaona Sasa unavamia ishu huna uelewa nayo
Hahusiki kivipi wakati unabisha kuwa jamaa alkuwa TO 2006 form six?Issue ya Martin Jegere au Elias Kihombo? Hivi kuna haja ya kumfahamu kila mtu?
Huu uzi ni unahusu Elias Kihombo huyu mwingine hausiki hata kidogo.
Hopeless kabisa! Kinachotakiwa hapa ni orodha na sio vingenevyo.We ni mpuuzi sana tena sana
Unaleta ujinga ujinga afu unakuwa mbishi kama dogo Sivan
Umesema leteni orodha ya miaka ya zaman umeletewa unaanza kusema ooh mara nileteeni ya form six
Na ukiletewa hiyo utaanza kusema nileteeni ya mwaka 2007
Huyo niliemtaja alikuwa TO 2004 form 4, TO 2007 form six
Kama unabisha endelea kubisha bisha faken kabisa
Weka orodha hapa sio maneno matupu!Hahusiki kivipi wakati unabisha kuwa jamaa alkuwa TO 2006 form six?
Sasa ndo tunakwambia 2007 TO form six alikuwa Martin chegere na kwa taarifa yako huyo alikuwa TO form 4 2004
Sasa kama ww umeanza kuwajua ma TO baada ya ujio wa tweeter na Instagram endelea kubisha bisha
Fungua hizo screen shots utapata list Ya wanafunzi waliofanya vizuri kidato cha nne mwaka 2005
View attachment 1546222View attachment 1546223View attachment 1546224View attachment 1546225View attachment 1546226
Wewe fala umesema orodha za wanafunzi bora zilianza kutolewa mwaka 2016 kuendelea watu ndipo tunakubishia kuwa zilkuwepo tokea zamaniHopeless kabisa! Kinachotakiwa hapa ni orodha na sio vingenevyo.
Hata huyo Martin Jegere unayemtaja hapa ilitakiwa tumuone kwenye orodha ya wanafunzi bora, sio kututajia wewe!
Kama hiyo orodha ipo, wekeni humu na sio kutukana matusi na kejeli zisizo kuwa na ulazima.
Halafu mbona mnazunguka zunguka tu, hiyo orodha ya Elias Kihombo kuongoza kidato cha sita mwaka 2006 iko wapi?
Wekeni hiyo orodha ya huyu mwanafunzi! Basi!!
Fungua hizo screen shots utapata list Ya wanafunzi waliofanya vizuri kidato cha nne mwaka 2005
View attachment 1546222View attachment 1546223View attachment 1546224View attachment 1546225View attachment 1546226
Mfano ni orodha ya 2005 umewekew hapo na wewe hoja yako ilikuwa hizi orodha zilianza kutolewa 2016.Weka orodha hapa sio maneno matupu!
😂😂Mkuu Upo.We ni mpuuzi sana tena sana
Unaleta ujinga ujinga afu unakuwa mbishi kama dogo Sivan
Umesema leteni orodha ya miaka ya zaman umeletewa unaanza kusema ooh mara nileteeni ya form six
Na ukiletewa hiyo utaanza kusema nileteeni ya mwaka 2007
Huyo niliemtaja alikuwa TO 2004 form 4, TO 2007 form six
Kama unabisha endelea kubisha bisha faken kabisa
Ni ujanja ujanja tu ndio umewajaa! Wekeni hiyo orodha ya Elias Kihombo kuongoza kidato cha sita mwaka 2006.Mfano ni orodha ya 2005 umewekew hapo na wewe hoja yako ilikuwa hizi orodha zilianza kutolewa 2016.
Mpuuzi staki tena u quote hata jibu langu ww ni mpumbavuu tuu
We jamaa muongo sana na unabisha uaicho kojuwa mi nimemaliza form 1V 2008 nakumbuka T.O wetu alikuwa mhagacha chacha na form six 2011 ila simkimbuki we inaonekana mbiishi tu na huelewi chochoteWeka hiyo orodha, hata ya 2015! Jamiiforums sio kijiwe, tuna watu wa kila aina humu!
Mimi mwenywe nimemaliza kidato cha nne mwaka 2007 na kidato cha sita mwaka 2010.
Ninachokueleza ninauhakika nacho, kwa sababu hata mimi niliongoza kidato cha nne, mwaka 2007.
Lakini nimekuja kufahamu baada ya kwenda kufanya kazi nje ya nchi, mwaka 2017 kama mhandisi.
Baada ya muajili wangu kuomba taarifa zangu za kitaaluma [ TSM9 ] kutoka baraza la mitihani [ NECTA ].
Sasa kama unasema unawajua baadhi ya watu walioingia kumi bora, naomba utuwekee hiyo orodha hapa. Jamiiforums ni jukwaa huru [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]nipo mkuu[emoji23][emoji23]Mkuu Upo.
Hoja yako ilkuwa ni kuwa hizi orodha zilianza kutolewa mwaka 2016 sasa umepew hiyo ya 2005Ni ujanja ujanja tu ndio umewajaa! Wekeni hiyo orodha ya Elias Kihombo kuongoza kidato cha sita mwaka 2006.
Wekeni hizo orodha sio kutaja taja majina tu.We jamaa muongo sana na unabisha uaicho kojuwa mi nimemaliza form 1V 2008 nakumbuka T.O wetu alikuwa mhagacha chacha na form six 2011 ila simkimbuki we inaonekana mbiishi tu na huelewi chochote