Mfahamu T.O Kihombo 2006 aliyepata Degree yake ya Kwanza baada ya Miaka 11

Aiseeee yani ni hovyo kabisa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hii ni hatari kwa taifa, lakini waliyoyafanya haya bado wapo serikalini na wengine wanapewa nafasi ya kugombea ubunge kwa kazi nzuri waliyoifanya pale NECTA.

Lakini ukweli utabaki kuwa ukweli, hii ni hatari kwa UCHUMI wa TANZANIA kwani wahitimu wanaozalishwa hapa TANZANIA wanashindwa kuajiriwa nje ya mipaka ya TANZANIA na hata humu ndani ya nchi kuna mahali wahitimu wa aina hii hawawezi kuajiriwa kabisa.

Na mifano ipo mingi! Sasa imefika wakati hata TANZANIA yenyewe haiwezi kuajiri wahitimu wa aina hii!

Sasa hivi nipo Shinyanga, kuwasalimu ndugu na jamaa maana hapa ni maskani [ 😊😊😊]. Siunajua tena!

Nimeshuhudia kuna shirika la serikali [...] wana mtumishi kutoka KENYA. Huyu mtumishi elimu yake na ajira yake ya awali ni KENYA lakini ameajiriwa na serikali ya TANZANIA.

Kwa hiyo, hii inatoa taswira kamili ya jinsi mfumo wa elimu ya TANZANIA ulivyoharibiwa na maadui hawa wa taifa.
 
Sasa hivi nipo Shinyanga, kuwasalimu ndugu na jamaa maana hapa ni maskani [ 😊😊😊]. Siunajua tena, maisha matamu!

Kumbe mkali we nini Shy
huko mimi nimezaliwa na kusoma na kuishi kwa sana mrefu sana
Wazazi wamezaliwa na kulia Shy
Naijua nje ndani
Big up Shy 💪
 
Lol! Ila kumbuka kilimo ni ajira kama zinginezo. Inaweza kuwa ajira ya kwanza au ya pili kulingana ntu na ntu.
Haina maana kwamba ukisoma, basi masuala ya kilimo si sahihi kuyafanya.
 
Unasikitisha mno
 
Chuo chenye pre entry course ni Open university tu, wanaiita Foundation course. hii ni kwa ajili ya watu waliokosa points za kujiunga Chuo katika mitihani yao ya form 6. Ni kozi ya mwaka mmoja. na sio rahisi kama unavyodhani.

kipindi tunaaplly TCU mfumo wa central admission system( CAS) ulikua ukiingiza namba yanakuja matokeo exactly kama yalivyo kwenye cheti. Sasa unapodai kwamba Necta wana matokeo tofauti na kwenye cheti, je una ushahidi wa mtu yeyote ambaye matokeo yake yalikuja tofauti (ya system yasifanane na kwenye cheti)?

Necta wanafaidika nini kumtangaza mtu kwamba ni Tanzania one wakati hastahili?.
 
Necta wanafaidika nini kumtangaza mtu kwamba ni Tanzania one wakati hastahili?.
Hapo kwa kweli, mimi na wewe hatufahamu!

Lakini huwa ni sababu za kibaguzi tu!

Ukanda! Ukabila! Udini na Rushwa ndio huwa zinachangia!

Mambo mengine ukishayaatambua ni vyema kuyaepuka!

Hata tukijadili hayatasaidia kwa sasa.

Ni vyema kutizama mbele, sio busara kujadili yaliyopita.

Lakini hiyo ndio TANZANIA!
 
we jamaa una tabia za kishoga.
 
Aka kajama kalinifundisha Advanced chemistry mchikichin mwaka 2013.
Anayajua mambo tatizo lake ana dharau sana, matus sana na masihara.
Angekuwa na nidham yawezekana angekwishakuwa prof mdogo kabisa hapa bongo.
 
Aka kajama kalinifundisha Advanced chemistry mchikichin mwaka 2013.
Anayajua mambo tatizo lake ana dharau sana, matus sana na masihara.
Angekuwa na nidham yawezekana angekwishakuwa prof mdogo kabisa hapa bongo.
Mm alinifundisha physics pia jamaa anaongea kinoma noma kumbe busara hainunuliwi...
 
eti duniani walionipita kwa akili ni watu wawili tu Mola na mzungu,kama ni kweli basi akili yake itakua na hitilafu kwa kumfanya mola awe mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…