Chabrosy
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 2,632
- 3,150
Mambo ya hovyo sana haya mkuu
Aiseeee yani ni hovyo kabisa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo ya hovyo sana haya mkuu
Kwani wewe ni cocastic ?Kwa hiyo tukusaidie nini?
Hii ni hatari kwa taifa, lakini waliyoyafanya haya bado wapo serikalini na wengine wanapewa nafasi ya kugombea ubunge kwa kazi nzuri waliyoifanya pale NECTA.Aiseeee yani ni hovyo kabisa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sasa hivi nipo Shinyanga, kuwasalimu ndugu na jamaa maana hapa ni maskani [ 😊😊😊]. Siunajua tena, maisha matamu!
Lol! Ila kumbuka kilimo ni ajira kama zinginezo. Inaweza kuwa ajira ya kwanza au ya pili kulingana ntu na ntu.Nasikia kuna Telecom Engineer kutoka UDSM ameamua kulima mpunga huko Kilosa ndani ndani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naona huyu ameamua kujificha huko, hataki lawama wala fedhea [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nisaidie kuniunganisha nae, nataka nikanunue mpunga wote [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwambie Charles Mandela wa CoES na Rais mstaafu wa CoHSS [2012/13] namtafuta nimpe hata mchongo!
Maana Telecom Engineer anaweza kufanya kazi hata za IT [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
This too much wallah [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unasikitisha mnoNasikia kuna Telecom Engineer kutoka UDSM ameamua kulima mpunga huko Kilosa ndani ndani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naona huyu ameamua kujificha huko, hataki lawama wala fedhea [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nisaidie kuniunganisha nae, nataka nikanunue mpunga wote [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwambie Charles Mandela wa CoES na Rais mstaafu wa CoHSS [2012/13] namtafuta nimpe hata mchongo!
Maana Telecom Engineer anaweza kufanya kazi hata za IT [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
This too much wallah [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Chuo chenye pre entry course ni Open university tu, wanaiita Foundation course. hii ni kwa ajili ya watu waliokosa points za kujiunga Chuo katika mitihani yao ya form 6. Ni kozi ya mwaka mmoja. na sio rahisi kama unavyodhani.Tatizo sio kuwa na idadi nyingi za wahitimu wa shahada. Tatizo ni ubora wa wahitimu wa shahada husika.
We do need qualitative number of graduate degrees, and not quantitative number of graduate degrees.
Kuna vyuo vikuu vinatoa shahada kwa wanafunzi wasiokuwa hata na vigezo vya kusoma shahada.
Na mifano iko mingi kabisa, kuna vyuo vikuu vina "PRE ENTRY COURSES" kabla ya kujiunga na masomo ya shahada. Lakini sote tunafahamu kuwa "PRE ENTRY COURSES" hazipo kwenye mitaala ya kufundishia ya TANZANIA.
Kwa upande wa TANZANIA, baada ya masomo ya sekondari huwa kuna astashahada, stashahada, shahada, uzamiri nakadhalika.
Hii "PRE ENTRY COURSES" ni biashara, matokeo yake wanapatikana wahitimu wasiokuwa hata na sifa ya kusoma shahada.
Kuna wanafunzi walisoma michepuo ya EGM na PCB lakini walienda kuchukua fani za uhandisi ijapokuwa sote tunafahamu kuwa hawa wanafunzi wa michepuo hii hawana vigezo vya kusoma fani za uhandisi.
Sasa muajiri gani ataajiri muhandisi aliyesoma EGM au PCB?
Kama ukipata ajira itakuwa ni bahati sana na pengine unaweza hata usiajiriwe kabisa!
Sasa hapa taasisi inayohusika ni TCU [ Tanzania Commission of Universities ] na sio NECTA. Hii TCU inabidi itoe semina elekezi kwa wahitimu wa sekondari au ikibidi vyuo vikuu viruhusiwe kudahiri wanafunzi kama zamani ili kuondoa kasoro zinazofanyika sasa hivi.
Ni nani huyu mwamba? Mbona amepungua hivyo! Amekonda na nini tena! Au ndio jogging imemkubali! This is too much wallah 🤣Mwamba mwenyewe anaezungumziwa hapa ni Huyu[emoji116]View attachment 1589175
Ni hatari sana!Unasikitisha mno
Hapo kwa kweli, mimi na wewe hatufahamu!Necta wanafaidika nini kumtangaza mtu kwamba ni Tanzania one wakati hastahili?.
we jamaa una tabia za kishoga.Ni sahihi kufanya, ndio maana nataka nikanunue mpunga wote ulioko shambani! 🤣🤣
Kuna mwingine ni Geologist wa UDSM analima matikiti maji [ Yeah! Ni Watermelons 🍉 ] kule Mkuranga, haya yanafaa kwa "cocktail" pale Las Vegas Casino - Upanga!
Unataka kuhakiki kuwa mimi ni mwanaume?we jamaa una tabia za kishoga.
Mm alinifundisha physics pia jamaa anaongea kinoma noma kumbe busara hainunuliwi...Aka kajama kalinifundisha Advanced chemistry mchikichin mwaka 2013.
Anayajua mambo tatizo lake ana dharau sana, matus sana na masihara.
Angekuwa na nidham yawezekana angekwishakuwa prof mdogo kabisa hapa bongo.
AiseeHuyu ni kishoka! Kipofu anayejaribu kumwongoza kipofu mwenzake! Kupata division 1 ya pointi 3 hakumfanyi mtu kuwa mwalimu mzuri.
Hiyo ndio TANZANIA 🇹🇿🇹🇿🇹🇿Dooh
Kweli mkuu.Mm alinifundisha physics pia jamaa anaongea kinoma noma kumbe busara hainunuliwi...